Nipotezee Lyrics – Hamisa Mobetto
Nipotezee Lyrics Verse 1
Zile stress maumivu potea
Nishashindwa uvumilivu kuzoea
Eti labda utabadilika nikangojea
Kumbe zidi vya maficho wanionea
Sasa niache kidogo, kidogo
Sitaki shida mizozo, mizozo
Kichwani wala na ukogo, na ukogo
Ishanipoteaa
Mi naona sina makombo, makombo
Tena kwa si kimombo, kimombo
Usinivuruge ubongo, ubongo
We kaka tembeaaa
Chorus
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Nipotezee Lyrics Verse 2
Kila ninalofanya kwako
Wala hukucare
Kosa la jana leo unanifokea
Nenda kila la heri
Nitakuombea, ombea
Bado wa kweli kwa mungu
Ninamuongojea
Sasa niache kidogo, kidogo
Sitaki shida mizozo, mizozo
Kichwani wala na ukogo, na ukogo
Ishanipoteaa
Mi naona sina makombo, makombo
Tena kwa si kimombo, kimombo
Usinivuruge ubongo, ubongo
We kaka tembeaaa
Chorus
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
Mmmh nipotezee
Mmh mmh nipotezee
ALSO, SING TO Naogopa Lyrics – Rayvanny