Home NEWS Niongoze Lyrics – Justus Myello – New Song Feb 2020

Niongoze Lyrics – Justus Myello – New Song Feb 2020

0
Niongoze Lyrics

Niongoze Lyrics – Justus Myello – Download MP3 Audio

Bila wewe Bwana, siwezi
Bila wewe Bwana,
Siwezi Bila wewe Yesu, siwezi
Bila wewe Yesu, siwezi

Niongoze, eeh Bwana
Popote niendapo
Hadi siku ya mwisho
Taji Lord nipate

Niliamini binadamu
Wakanisetia pace
Wakinicheki ukinibless
Tena wanajam

Bwana safari ya wokovu
Ina majaribu mengi
Vikwazo, temptation
Ineleta jam

Mi nataka we unidirect
Kwa mitego nidetect
Ibilisi akiniattack itaniaffect
Itakuwa hi si
Please protect me
Father Protect me Baba
Protect me on my way

Niongoze, eeh Bwana
Popote niendapo
Hadi siku ya mwisho
Taji Lord nipate

—-
—-

Umeniweka ukanivika ukaniosha
Ukanionyesha njia zako

Niongoze Bwana, niongoze

Niongoze, eeh Bwana
Popote niendapo
Hadi siku ya mwisho
Taji, taji nipate

Niongoze, eeh Bwana
Popote niendapo
Hadi siku ya mwisho
Taji Lord nipate

Bila wewe Bwana, siwezi
Bila wewe Bwana,
Siwezi Bila wewe Yesu, siwezi
Bila wewe Yesu,
siwezi

Bila wewe Bwana, siwezi
Bila wewe Bwana,
Siwezi Bila wewe Yesu, siwezi
Bila wewe Yesu, siwezi

Niongoze Lyrics Credit – Justus Myello

ALSO, SING TO – Suzanna Lyrics – Sauti Sol – New Song Feb 2020