Home GENERAL Ningekuwa Demu Lyrics – Dulla Makabila – New Song 2020

Ningekuwa Demu Lyrics – Dulla Makabila – New Song 2020

0
Ningekuwa Demu Lyrics

Ningekuwa Demu Lyrics – Dulla Makabila – Download Mp3 Audio

Verse One

Oooh ningekuwa demu
Aaah wanangu ingekuwaje
Kama ningekuwa demu
Najiuliza ingekuwaje
Kama ningekuwa demu?

Yaani madanga yangenikoma
Kama ningekuwa demu
Ningeitwa shemeji kila kona
Kama ningekuwa demu

Kwanza mi na bwanangu
Mikonge kwa kulala
Maana navo upenda
Ule mchezo kama chakula

Na katika pochi langu
Hirizi ndo zingetawala
Nyi mkiroga mpendwe
Mi naroga nihongwe hela

Hata ukipaka mkongo
Mi ningetaka kuendelea
Makelele kama nachinjwa
Hata kama bwana ana kibamia

Na nikikupa siku moja tu
Lazima utangaze ndoa
Mimba hata ya miezi tisa
Mi ukinitibu natoa

Na nikilewa sikatai
Mi ndo chakula cha masela
Singeli hata ipigwe huko
Ni lazima nitacheza chura

Chorus

Yaani najiuliza
Ingekuwaje ningekuwa demu
RJ kichwa nauliza
Ingekuwaje ningekuwa demu

Aaah wanangu ingekuwaje
Kama ningekuwa demu
Najiuliza ingekuwaje
Kama ningekuwa demu?

Yaani madanga yangenikoma
Kama ningekuwa demu
Ah! Ningeitwa shemeji kila kona
Kama ningekuwa demu

Verse Two

Aah mazoea mazoea hujenga tabia
Binti Santos anajulikana kila kona
Kwa offer za bia
Kweli mazoea mazoea hujenga tabia mama

Ah bosi nelea naitwa baby tila
Pande za offer za bia

Waimba singeli nina siri zao, nina siri zao
Nina siri zao
Mi nataka niwaambie
Nina siri zao, nina siri zao
Nina siri zao
Mi nataka niwaambie

Naona wamechoka sana
Nawapa gogo wakalie
We nasikiwa wamechoka sana
Nawapa gogo wakalie

Mwanangu ukiroga huku
Na mimi naroga kule
Mwanangu ukichinja huku
Na mimi nachinja kule

Ala shindo na ukichimba huku
Na mimi nachimba kule
We tindo ukioga huku
Na mimi naoga kule

Yangu njia, yangu njia….
Yangu njia, yangu njia….(Wika)
K Money ndo mwanangu we Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia….

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia….
Dulla hatari damu yangu mwanao nakukubali
Yangu njia, yangu njia….

Mi sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia….
HK we mwanangu mi Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia….

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia….
Yaani Papichullo mwanangu we Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia….

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia….
We Jacky Wolper mwanangu mwanao nakukubali
Yangu njia, yangu njia
We sikukatai sikupingi bwana tumetoka mbali

Tia mguuu..

Basi twende
Napenda likienda napenda likirudi…
Napenda unavyochezesha wowowo…

Ningekuwa Demu Lyrics Credit – Dulla Makabila

ALSO, SING TO – Umenishika Lyrics – Wini Ft Masauti – New Song 2020

Previous articleMoto Lyrics – Walter Chilambo – New Song 2020
Next articleBazenga Valentines Lyrics – Breeder LW – New Song 2020