Home NEWS Ni Tekenye Lyrics – Sailors Ft Nadia Mukami – New Song 2020

Ni Tekenye Lyrics – Sailors Ft Nadia Mukami – New Song 2020

0
Ni Tekenye Lyrics
Ni Tekenye Sailors ft Nadia Mukami

Ni Tekenye Lyrics – Sailors Ft Nadia Mukami

Intro Chorus

Kurugushuka ragasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikomeka kutu
Limenishika nimesema tu masudu
Karibia chapter na nipige mamunju

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni Tekenye Lyrics Verse One

Aah, chibobo waangu
Muhodari wangu
Chiboboo waangu
Muhodari waangu

Siwezi kukataa nakupenda
Na bado naamini siwezi kukutenda
Kila day bana mi bado nakuwaza
Umefit roho yangu bado inakuwaza

Kukutext bundle ndio ilikuwa ni mablunder
Kuchapa wera daily kung’ang’ana kwa vibanda
Ulinipenda mi hata kuliko jana
Hata uulize mi siwezi kukukana

Ulinipenda vile tukimanga chapo dondo
Wakati sina doo nikibishana na kamongo
Mtaani ukipita na maboy wanatense
Nazidi kuwalenga ndio iweze kuwa pain

Siwezi kukupima wewe sio mama pima
Itabidi nikubebe tu kabegani
Siwezi kukupima wewe sio mama pima
Itabidi nikubebe tu kabegani

Chorus

Kurugushuka ragasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikomeka kutu
Limenishika nimesema tu masudu
Karibia chapter na nipige mamunju

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni Tekenye Lyrics Verse Two

I want you boy
With the ghetto loving
Is Nadia that you say
You be wanting
Nitekenye nitekeke
Ooh no way don nitekeke

You say that you wanting my body
Tonight you are touching my body
In return i will be bouncing my body
Squeezing my body calling me hunnie

You say that you wanting my body
Tonight you are touching my body
In return i will be bouncing my body
Squeezing my body calling me hunnie

Ni kaholy holy toto ni kaholy
Ni kadoli doli toto ni kadoli
Nimechizi with the love sijiwezi
Niko stenji kulipoti juu ya wizi

Moyo wangu ukang’oa na mizizi
Penzi langu ukalipa na mandazi
Kedi nayo nilikupenda tu kichizi
Kukufuata fuata tu kama mbuzi

Vako zako sweet baby zaning’ora
Kuna venye we chachisha ka kang’ora
Ukifika kwenye zabwa
Wa wana raraa

Chorus

Kurugushuka ragasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikomeka kutu
Limenishika nimesema tu masudu
Karibia chapter na nipige mamunju

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni Tekenye Lyrics Verse Three

My baby girl naomba usikate tenje
Last word kukushow ni ati niko stenje
Ata nimeomba afande afande menje
Ni mateso huku tu nang’ang’ana

Kukupenda ata heart hatukubishana
Mbona uende hata hatukulimana
Roho yangu imekukwachuu
But mi ndo nitakuoa ka warachuu

Chorus

Kurugushuka ragasha kuruku kung kung
Penzi lako limenikomeka kutu
Limenishika nimesema tu masudu
Karibia chapter na nipige mamunju

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)
Nizungushie one down
Nizungushie one, (one)

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke
Ni tekenye na one down
Ni tekenyereke, ke

Aah, chibobo waangu
Muhodari wangu
Chiboboo waangu
Muhodari waangu

Credit: Sailors and Nadia Mukami

SING TO: Magode Choke Lyrics – Zzero Sufuri – New Song 2020

Previous articleAmina Abdi Rabar Biography, Age, Husband, Career, Facts
Next articleKawazim Lyrics – Boondocks Gang Ft Sailors, Magix Enga – 2020