Home NEWS Ni Kubaya Lyrics Khaligraph Jones Ft Breeder LW

Ni Kubaya Lyrics Khaligraph Jones Ft Breeder LW

0
Ni Kubaya Lyrics

Ni Kubaya Lyrics Khaligraph Jones Ft Breeder LW.

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Msupa atoti ndai ni German
Ni ya ulaya, (ni ya ulaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Woi Kareto msafi mbota durex
Shingo mawaya, (bazenga)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Jua ni kubaya imba ka choir
Cobra ni king bazu ni giant
Tangu tene breeder me ni short wire
Leta zogo ndio utafinywa na pliers

Rap game nimesimama kwa dias
Sembe na mala na kunde kwa diet
Tabia za baha na nguo za Diana
Zitafanya nifuate dini kwa science

Nikikafunga nzcopy jalango
Na pull up na beamer kwanza kidrop top
Mkwela alijifanya high class
After mechi si alidishi mapopcorn

Kwa shingo wire zimebeba makara
Trao imefura kwa mbosho
Vile wanapupa kama refa wa reso
Undertaker anawapiga ma tombstone

Vile nawashtua kama box X
Nigga maziwa nazioshanga tu na topex
Itabidi wamejua bado si ndio chosen
Hope alitupwa ndani ya tank kama Cohen

Niko fully loaded sijawai kosa content
Delivery noma mistari inafikisha door step
Tuko tu mamoshi ka takeoff ya rocket
Breeder Omollo kuwa sure hii ni problem

Na siezi ngoja ku invest ma mita
Zitaletwa na ngomanapiga
Tafka naigeuza kanisa
Ju makosa inapata na sifa

Ka si GK ni bring kwa speaker
Piga mrazi na chupa kwa kichwa
Mi napata baraka si kismart
Wengiwao walicome wakapita

Si ni shocking kablanca we bado una mbogi
Me nazoza one man me head bad
Niko By Pass 105 nakanyaga
Hadi stuff unanyamba

Me naachia depa na princi lawama
Ju kuna maganji nafuata Lang’ata
Hapo mneti wana hateingi sana
Na tukipatana wako nervous

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Msupa atoti ndai ni German
Ni ya ulaya, (ni ya ulaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Woi Kareto msafi mbota durex
Shingo mawaya,
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Rada ni chafu washow tumefika joh
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Me ni moto na vile nawa sun
Jua ni kufire, jua ni kufire

Tuliona ukizoza na ndechi kwa IG
Ukajua nikuhire, jua ni kuhire
Na vile huyu shawty anagawia umati
Hujajua ni mala… okay wuh

Breeder alinishow OG nina banger
Nikamshow tuma ma nigga i got you
Na ju staki mastory za mbanga
Vida ipigwe mchana sababu ya curfew

Lazima nipate briefing ya mutahi
Nijue cases ngapi so far hapa nai
Najua nikijikata utajifanya sorry
Lakini ndani ndai watakuwa wanafurahi

Itabidi niharakishe ndio ni sepe, sepe
Hii si para mr usiniletee
Hata mkilalamika
Me natambulika siezi choma picha ama vipi

Na nyi kwangu vinyangarika
Nawachapa vita na mkikasirika niwateke
Niwanyanganye sling na timber
Na ju nyi ni wajinga ni vibare mpaka me nitosheke

Na me nawatafuna kama pk, pk, pk, pk jaba na njoti
Na hii ngoma lazima iwashike, shike, shike, shike
Mababi mangoki Collabo noma Omollo na TK,TK, TK
Mafala hawatoshi

Na kaa ni bars basi mutishe, tishe
Ndio tuwazungushe na ile pace ya valentino rosy
Tukifika basi ni nduru tuko kwa telly kwa mbulu
Kutoka nyeri to buru mpaka nyeri to mukuru
Tukimalizana na Nai tunafika Nakuru

Na juu hii si kazi ya bure buda toa ushuru
Mashore wanalia uh thats badman
Gonga taka tukuscoop up na dust pan
Red carpet tuna pull up na mass tang
Luku ya gikomba tunapulizia Versman

Competition imerushwa kwa trash can
Nyi mastude mmekuja for halfterm
Hivyo ndio namalizia verse
OG Motherfucker nime pull up na tough line

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Msupa atoti ndai ni German
Ni ya ulaya, (ni ya ulaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, (jua ni kubaya)
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya (jua ni kubaya)

Woi Kareto msafi mbota durex
Shingo mawaya,
Jua ni kubaya jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Wanani Lyrics Bahati Toto Si Toto

Ni Kubaya Lyrics Khaligraph Jones Ft Breeder LW – Download Mp3 Audio

Leave a Reply