Ngwati Lyrics – Magix Enga ft Ex Ray
Hii ni ya watu wazima na si ya watoto
Before verse toa id shika na mkono
Verse One
Nishai ona remix kubwa nikasema ghai
Wooi ghai nikaiva ngwai
Wooi ghai nikaseti ngwati
Watu wakipendana wengine mbona ni mabaty
Mabaty mabaty mabaty mabaty
Madem wa masponyo niko na kiswali
Njoti zao kweli zi hukuwa maji maji
Ama hujui hadi mpaka hadi atoe suruali
Na huyo ni gukaa ama we humuita chali
Ooh basi sasa twende basi next stopping
Ushaifanya stingo hadi yeye akacopy
Alicheki dredi ona kamenyonji
Kuja home interview apa ntakuhoji
Alibambwa na nyaru wakaona wamwachilie stress free
Kamau akaona ajiachilie akaweka bash ikajaa maboy makwanky
Na ngoko mmoja na imejaza taxing eeh
Heshima ndogo ndogo jo me huwaga sipendi
Napenda kidem kina mapaja kisexy
Kilocal kinapenda mangwati
Na vile joo mi ni fan wa ngwati
Chorus
Ngwati ngwati ngwati ya wanoi
Wote huriadana wakiwa noi
Wote wanataka rungu ya moi
Ngwati ngwati ngwati aaaah
Ngwati ngwati tingo umeze nyongi
Tingo na ngwati ni kama movie
Sai saa ngapi hata hajui
Alitekwa akajipata Kitui
Ngwati Lyrics Verse Two
Mama Nyanduse hujui jo ni wa punyeto
Ye hutumia mafuta saa zingine hutumia dettol
Ye hutumia blueband haki we ni mgentle
Anapenda mkius inakaa kama Gecko
Wiki wiki mi hukulia hadi next door
Ukipenda umadhe sana we ni motherfucker
Niko high view we uko viusasa
Huna style different ka mtu ako pasapasa
Ati bad bad mi ni badman
Wanapenda vile joo nawakanyaga
Sema Magix Baba Lao, Magix Baba Lao
Sema Enga Baba Lao, Enga Baba Lao
Chorus
Ngwati ngwati ngwati ya wanoi
Wote huriadana wakiwa noi
Wote wanataka rungu ya moi
Ngwati ngwati ngwati aaaah
Ngwati ngwati tingo umeze nyongi
Tingo na ngwati ni kama movie
Sai saa ngapi hata hajui
Alitekwa akajipata Kitui
Ngwati ngwati ngwati ya wanoi
Wote huriadana wakiwa noi
Wote wanataka rungu ya moi
Ngwati ngwati ngwati aaaah
Ngwati Lyrics Verse Three
Ati bad bad mi ni badman
Wanapenda vile joo nawakanyaga
Sema Magix Baba Lao, Magix Baba Lao
Sema Enga Baba Lao, Enga Baba Lao
Nishai ona remix kubwa nikasema ghai
Wooi ghai nikaiva ngwai
Wooi ghai nikaseti ngwati
Watu wakipendana wengine mbona ni mabaty
Mabaty mabaty mabaty mabaty
Credit: Magix Enga and Ex Ray
ALSO, SING TO: Zima Puliza Lyrics – Jabidii – New Song Jan 2020