Ndoto Lyrics Verse One
Nahodha boti inazama
Bahari haina pa kushikia
Kina kirefu nitazama
Nawe ndo msaada unanikimbia
Bahari, kwa jua ina miti
Paanu ni makonde va ndingu mahala mpaka ulaya
Paanu ni makonde va ndingu mahala mpaka ulaya
Chorus
Ndoto za usiku zanitoka mwenzio
Aii mama
Na sabuni ndo kimbilio
Usiku na mchana aaah
Ndoto za usiku zanitoka mwenzio
Aii mama
Na sabuni ndo kimbilio
Usiku na mchana aaah
This is how, how I feel
Ingawaje unanionaga chizi
This is how, how I feel
Chizi kama ndizi
This is how, how I feel
Ingawaje unanionaga chizi
This is how, how I feel
Chizi kama ndizi
Ndoto Lyrics Verse Two
Nitaishi na wewe
I swear sitamuona yeyote
Ingawaje ukiondoka utaniacha kilio tuu
Usiku na mchana aaah
Mihogo karanga ndo ngingingi
Na kwenye boxer ndo ndindindi
Chemu chemu mabonde vigingingi
Kuja kwa maji ndo mawimbi
Ai wewe naumia sana aah
Mwenyewe najua unaona
Chorus
Ndoto za usiku zanitoka mwenzio
Aii mama
Na sabuni ndo kimbilio
Usiku na mchana aaah
Ndoto za usiku zanitoka mwenzio
Aii mama
Na sabuni ndo kimbilio
Usiku na mchana aaah
This is how, how I feel
Ingawaje unanionaga chizi
This is how, how I feel
Chizi kama ndizi
This is how, how I feel
Ingawaje unanionaga chizi
This is how, how I feel
Chizi kama ndizi
Closing Verse
Aiii oooh
Chizi kama ndizi
Unanionaga chizi chizi
Ah we wewee, aii ooh we dada
Chizi kama ndizi
Chizi kama ndizi
Mwenzio oooh, aaah eeeh
aaah eeeh chizi kama ndizi eeh
Credit: Hamis Bss
ALSO, SING TO: Zabwa Lyrics – Hamadai – New Song 2020