Nauelewa Lyrics – Otile Brown
Nauelewa Lyrics Verse One
Inachohitaji moyo
Hata akili haiwezi baini
Ila cha mtima cha moyo
Hata kama sio kizuri
Kwako nazama mazima
Sioni wala siambiliki
Umekuchagua mtima
Thamani yako haina kifani
It takes two two tango
Sako kwa bako
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
It takes two two tango(Tango)
Sako kwa bako(Bako)
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
Chorus
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
Nauelewa Lyrics Verse Two
Sasa washa ndololi(Washa)
Oooh washa(Washa)
Washa tumwone
Mmmh
Ng’amua Wema kwa Magu(Washa)
Oooh washa(Washa)
Washa tumwone(Washa)
Mmmh
Shingo Nyarwanda kigali(Washa)
Oooh washa(Washa)
Washa tumwone(Washa)
Mmmh
Mauno ya Uganda Kangu(Washa)
Oooh washa(Washa)
Washa tumwone(Washa)
Mmmh
It takes two two tango
Sako kwa bako
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
It takes two two tango(Tango)
Sako kwa bako(Bako)
Tena unikumbate usiache
Mi wako peke yako
Chorus
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
Maana huu mziki(Nauelewa)
Beiby(Nauelewa)
Mziki hatari(Nauelewa)
Nauelewa
ALSO, SING TO Jegi Lyrics – Rico Gang Ft VDJ Jones – New Song 2019