Home NEWS Nataka Lyrics – King Kaka & Odi wa Murang’a

Nataka Lyrics – King Kaka & Odi wa Murang’a

0
Nataka Lyrics

Nataka Lyrics – King Kaka & Odi wa Murang’a

Si ukalale kwa kitanda
Kubari kwanza ucheze ( gani hiyo) (oyah king kaka)
Nichezee ile ngoma ya sauti sol
Ile inaitwa keroro keroro ( cheki nimekam na mandom)
Nimekam na mandom

Chorus

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Nataka Lyrics – King Kaka

Say u guy my guy
U promised me a boti
Nikona madem kama kinde kwa moti
Bed olympics mummie me ni pro

Ka hauna credo usiniflash me si choo
Vile umecarry bana me nimecarry rubber
True love ni Mag haujasoma bana
Tunasherekea Kipchoge na akina kipkemboi

Ambia Stivo hamna la simple boy
Kuna ule anaamua horror mwingine mapang’ang’a
Bouncer anayechapana utadhani pasi pang’ang’a

Chorus

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Nataka Lyrics – Odi wa Murang’a

Odi wa Murang’a nawachange kama Diapers
Ka ni Momo nambeba kejani na kitractor
Kama ugasho nakima turime kwa tractor
Miguu zake mabegani stingo ni za smackdown

Odi king kaka tugiri na ngoma
Ndani ya tire zetu ni bebei na twaga
Ng’ang’u na mandom Yeah
Diaba za sodoma yeah yeah
Leo tire tunaseti ni za Hong Kong

Odi king kaka tugiri na ngoma
Ndani ya tire zetu ni bebei na twaga
Ng’ang’u na mandom
Diaba za sodoma yeah
Leo tire tunaseti ni za Hong Kong

Chorus

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Me Nataka nikunywe nikunywe nikunywe
Nikunywe hadi wanibebe hadi wanibebe
Hadi wanibebe hadi wanibebe

Nataka Lyrics

Nikunywe hadi wanibebe
Hadi wanibebe

Hadi wanibebe
Hadi wanibebe
Hadi wanibebe

Hii pombe inaingia
Naisikia katikati ya kichwa ya mguu yangu
Niekee ng’ang’u na mandom
Na kwanza anajifanya, kwendaa

ALSO, SING TO Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Credit

KING KAKA
ODI WA MURANG’A

Previous articleMagical Lyrics – Navy Kenzo
Next articleINDE Lyrics – Breeder LW, Jimito & Benzema( Ochungulo)