Naolewa Lyrics – Ruby DOWNLOAD MP3 AUDIO
Waliniita kimbaumbau, kiguu na njia
Ila nikadharau, nikapuuzia
Leo kwao kafa nyau, yanawanukia
Kwetu twafinya pilau, yametimia
Oooh wanjara, walete bunyero ooh
Mi nataka kulimwaga razi, Na makagheroo
Waite na mapaparazi, Wapate kero
Wale wenye magho ya nazi, Bando la jero
Wapate vya kuperuzzi
Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu
Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu
Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa, kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie, Ooh sheba
Naolewa, naolewa mie
Nilikosaga na dira kwa maneno ya waja
Oooh subira aaah, mbele inafaraja
Asa chereko, ngoma lipo uwanjanii
Mwali na mideko, kama nimetoka ngomani
Aii yuko wapi mamie mwali
Aje anibebe mgongoni
Amuite daddy mwali waje
Wayarudi ya msondondo
Bibi anacheka, zawadi kaleta
Na kitenge na mkeka
Na kibunda cha pesa
Aaah aah aaah
Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu
Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu
Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa, kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie, Ooh sheba
Naolewa, naolewa mie
Sina sina makosa
Mtoto wa mwenzio
Sina sina makosa
Utajiua
Sina sina makosa
Mtoto wa mwenzio
Sina sina makosa
Utajiua buree
Buree, bureee…
Naolewa Lyrics Credit – Ruby
ALSO, SING TO – Mama Lyrics – Kayumba – New Song 2020