Home NEWS Naogopa Lyrics – Rayvanny

Naogopa Lyrics – Rayvanny

0
Naogopa Lyrics
naogopa rayvanny

Naogopa Lyrics – Rayvanny

Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Na wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa
Mapenzi chenga
Yakikupiga unasurrender
Wengi wakipendwa
Wanasahau kuna kutendwa

Wapi mkandarasi wa moyo
Ukuta wa mapenzi una bomoka
Kinachoponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka
Wapi mkandarasi wa moyo
Ukuta wa mapenzi una bomoka
Kinachoponza wengi ni moyo
Wakikalia kuti kavu wanadondoka

Unajisifu umempata
Kumbe alomwacha anamfataa
Anachotaka anakipataa
Wanasema wala na talaka
Unajisifu umempataa
Kumbe alomwacha anamfataa
Anachotaka anakipataa
Wanasema wala na talaka

Naogopa, Naogopa, Naogopa, Naogopa,
Naogopa Kwenye safari ya mapenzi
Mimi sihusiki

Naogopa, Naogopa, Naogopa, Naogopa,
Naogopa Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu kapiga dana dana
Nimeyaona bayana
Ndo maana sitaki kumbuka ya jana
Alivyonidanganya
Moyo wangu kapiga dana dana

Kwani nilizama pendoni
Akaniteka mapenzi
Tena nilimweka moyoni
Ila akaniona mshenzi
Tunaweza sema pesa ndio brekii
Ila mapenzi hayasomekii
Umemteka kwa mali na cheque
Kumbe vyombo anakula Muuza magazetii

Unayemuita bebii
Anaweza bebwa kama begii
Mapenzi yanabadilika
Unaweza ukamuita shemejii
Unayemuita bebii
Anaweza bebwa kama begii
Mapenzi yanabadilika
Unaweza ukamuita shemejii

Unajisifu umempata
Kumbe alomwacha anamfataa
Anachotaka anakipataa
Wanasema wala na talaka
Unajisifu umempata
Kumbe alomwacha anamfataa
Anachotaka anakipataa
Wanasema wala na talaka

Naogopa, Naogopa, Naogopa, Naogopa,
Naogopa Kwenye safari ya mapenzi
Mimi sihusiki

Naogopa, Naogopa, Naogopa, Naogopa,
Naogopa Tena tochi ya mapenzi isinimulike

ALSO, SING TO Distance Remix Lyrics – JAY ROX Ft RAYVANNY & AY

Credit: Rayvanny

Naogopa Lyrics rayvanny