Naogopa Lyrics – Lulu Diva Ft Mr. Blue
Naogopa Lyrics Verse One
You are my candle light
Nakupa sifa sijaona
Jinsi una petty petty
Wanishika moyo wayoyoma
Kwa wengine sichezi
Penzi lako kwangu ngoma
Nitalinda penzi
Pembezoni mpaka Gola
Usiniache feli
Ukanidanganya danganya
Penzi la kitapeli
Utu ukautawanya
Chorus
Mi nakupenda beiby
Kwa marefu na mapana
Wengine wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Wengine wasije wakanipora(Diva Diva)
Wakanipora oooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Naogopa Lyrics Verse Two
Shikilia unaposhika
Na vipofu tule nao
Hello dear umenishika
Nipe tam bila wao
Umenileta mbali ya dunia
Siendi tena kwao
Nakuona mali mara mia
Sipendi nyuso zao
Cheki unalock
Ndani kufuli hugusi
Napenda catwalk
Alivozichonga nyusi
Napenda nywele ndefu
Kama toto la Urusi
Ukivaa unapendeza
Vaa gauni la harusi
Nyuma unavyorudi
Mbele unavyokwenda
Inabaki sina budi
Sijabugi kukupenda
Tena makusudi
Ikiss na lips tender
Chumbani mpaka na hoodi
Hivi ndivyo inavyokwenda
You’re my Lulu Diva
Mtoto umeiva
Dhamani ya dhahabu
Sitaki tena masilver
Oooh sipati shida
Sitaki tiba
Tabibu kashafika
Nimesema sitaki fever
Usiniache feli
Ukanidanganya danganya
Penzi la kitapeli
Utu ukautawanya
Chorus
Mi nakupenda beiby
Kwa marefu na mapana
Wengine wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Wengine wasije wakanipora(Diva Diva)
Wakanipora oooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora oooh
Naogopa Lyrics Verse Three
Kwa raha zako sitamani Sitamani mwingine
Nimeshiba kwako sitamani Sitamani mwingine
Oooh my beiby sitamani Sitamani mwingine
Unavyonipa vya ndani Sitamani mwingine
Ahadi kukupa dosi Ili usitamani mwingine
Nakufuta na machozi
Wabanie matozi wakale pengine Sitamani! Sitamani mwingine Sitamani! Sitamani mwingine (Uh, Diva, Diva)
Credit: Lulu Diva and Mr. Blue
ALSO, SING TO: Nyakati Lyrics – Goodluck Gozbert – New Song Jan 2020