Home NEWS Nakupenda Lyrics Penzi langu – Denno – New Song 2020

Nakupenda Lyrics Penzi langu – Denno – New Song 2020

0
Nakupenda Lyrics

Nakupenda Lyrics Penzi langu – Denno – Download Mp3 Audio

Verse One

Mara ya kwanza tulipokutana
Pale kanisani kwenye choir
Moyo wangu ulichangamka

Nilipokuambia nakupenda(Penda)
Nawe ukasema wanipenda pia
Nilihisi kufurahia aah

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe wa kutenganisha

Chorus

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Verse Two 

Nishike mkono pamoja tusonge(Tusonge)
Atujalie Maulana watoto tupate
Tena tumuombe atusaidie
Tuzeeke pamoja wajukuu tuwaone

Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Tell me what I gotta to do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Chorus

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Verse Three

Alichokiweka pamoja Mungu
Asiwe yeyote wa kutenganisha
Asiwe, asiwe

Tell me what I gotta to do to please you
Baby anything you say I do
Coz I only wanna make you happy
From the bottom of my heart is true

Chorus

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Nakupenda
Beiby nakupenda
Siku zote za kalenda
Nitakupenda tu

Nakupenda Lyrics Penzi langu Credit – Denno

ALSO, SING TO – Nipee Spanner Lyrics Yes Bana Parody – Padi Wubbon