Home NEWS Najiuliza Lyrics – MATTAN

Najiuliza Lyrics – MATTAN

0
Najiuliza Lyrics

Najiuliza Lyrics by MATTAN

Verse One

Nkisema nimwachane
Nitakufurura buka alioyaweka
Nirekebu yangu mapungufu
Kibinadamu nijue wapi anaelezeka

Moyo unauong’oneza
Na unaonipa mtazamo
Ungekuwa kando
Ningekuchumu maa, chum maa
Ningekuchumuu

Popote ulipo
Ujuwe bado nakupenda
Aahh my baby, my baby
My baby

Uvume upepo
Wawili tuivuke ng’ambo
My baby, my baby

Hata dunia itoke kwenye muhimili
Kweli hakuna wa kubadili
Tulianza pair kanda mbili
Leo uko mbali sikubali, haku

Na hata kama wa kweli
Ukiwa umependa hivi tulivyo
Mbali mbali sawa

Ila swali moja najiuliza

Chorus

Nitakusahau lini?

Nitakusahau lini? Nitakusahau
Nitakusahau lini? Nitakusahau
Nitakusahau lini?  Nitakusahau
Nitakusahau lini? Nitakusahau

Verse Two

Kumbu kumbu inanitesa sana
Nikitanabai nakumbuka mapenzi
Ni kweli ni mengi ulonifunza
Hivi unatamani kurudi?

Kujitia hodari wa kulaghai
Eti fundi wa kupika kila mboga, maa
Sitaki yamenichosha

Popote ulipo
Ujuwe bado nakupenda
Aahh my baby, my baby
My baby

Uvume upepo
Wawili tuivuke ng’ambo
My baby, my baby

Hata dunia itoke kwenye muhimili
Kweli hakuna wa kubadili
Tulianza pair kanda mbili
Leo uko mbali sikubali, haku

Na hata kama wa kweli
Ukiwa umependa hivi tulivyo
Mbali mbali Sawa

Ila swali moja najiuliza

Chorus

Nitakusahau lini?

Nitakusahau lini? Nitakusahau
Nitakusahau lini? Nitakusahau
Nitakusahau lini?  Nitakusahau
Nitakusahau lini? Nitakusahau

Najiuliza Lyrics by MATTAN

ALSO, SING TO – Acha Iwe Lyrics – NEDY MUSIC

Leave a Reply