Naenjoy Lyrics – Aslay
Verse One
Wa leo
mimi wa leo
Wa leo
sio wa jana
Aslay
Maisha ndo yale yale Aah
kuteswa ni kama funzo Mmh
mengine tuyasamehe Oooh
tusiweke viulizo
Kikubwa uhai
Nashukuru ninao sijakufa
Ila kuhusu mapenzi sitaki show
Nimeyakuta
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena
kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena
mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena
kutwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo
Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh
Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo
Nisitake ya watu wazima
Chorus
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana
ALSO, SING TO Uno Lyrics – Harmonize – New Song 2019
Verse Two
Nakukumbatia mtafuna roho yake
Asikwambie mtu, mtu yeyote Ah,
jamani shuka zina joto lake A
sikwambie mtu, kitu chochote
Kugandana gandana Kuzuga tunapendana
Mwisho twaaza kuulizana
Sitaki Mila sizitaki nyama
Kupenda nimesimama Moyo wangu umegoma Hautaki ng’o
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena
kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena
mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena
utwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima
Eeh eeh eeh
Bora nitulie
Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima
Chorus
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama Oooh naenjoy, naenjoy sana
ALSO, SING TO Sugua Lyrics – JUX feat. DIAMOND PLATNUMZ