My baby Lyrics Teamo Cover – Dogo Charlie – Download Mp3 Audio
Verse One
Dogo Charlie ooh
Mmh nakushukuru maana umenibebea
Mtoto wangu umenitunzia
Nina kila sababu ya kujivunia iyee
Na nikikuona nafurahia
Hata huyo mtoto namsikia
Nikimguza nafurahia iyee
Acha nikupende washangae
Unizalie nifurahi
Mtoto tumlee
Mi na wewe
Wasikudanganye unikimbie
We ndo wangu nakujali
Kukucheza ndo siwezi my darling
Ni wewe
Nina ku apia
Nitalea mtoto
Sikufichi tazama kwa macho
Hata akilia mimi ndo babake nitambembeleza
Baby tulia
Ngoja siku yako
Naahidi tutakula kwa vijiko
Ukijifungua tu mimi mume wako utaniweza
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
Verse Two
My lover
Sasa ujana umeshakutoka sababu ya me
Kwa sababu ya me
Only me
So siwezi kucheza nikuache ukilia baby, my baby
Nitaomba msamaha nikikosea my baby
Na ukikosea forgiveness kwako
That is the kind of love
And i promise to be always faithful
Twende kwa mama na papa
Tupokee hizo baraka
Mummy we
My sweet tamuu hee
Basi dance shaku shaku
Cheza kidogo
Moyo unakuita give me jango love
Give me jango love
Basi dance shaku shaku
Cheza kidogo
Moyo unakuita give me jango love
Give me jango love
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
Verse Three
Twendako ni mbaaali
We ndo wangu wangu tu
Kukupoteza ndio sitaki
Aa aah
Kericho nyumbani
Kwenye majani chai tu
Tupunge upepo hewa safi
Aa aah
Acha nikupende washangae
Unizalie nifurahi
Mtoto tumlee
Mi na wewe
Wasikudanganye unikimbie
We ndo wangu nakujali
Kukucheza ndo siwezi my darling
Ni wewe
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
Huyo baby ni wangu
Ni wangu
My baby Lyrics Teamo Cover Credit – Dogo Charlie
ALSO, SING TO – Urao Lyrics – Wakali Wao – New Song 2020