Muongo Lyrics by Barnaba Classic – Download Mp3 Audio
Muongo Lyrics Verse One
Masikini mimi moyo wangu pasu pasu
Kwani nilivyompenda singefanya machafu
Penzi kanichimba chimba kama viatu
Yaani bila huruma akatupa na watatu
Kwake niliwekeza upendo
Ye hakuwa na malengo
Penzi akaweka na pengo
Kupenda shida kabisa
Kama mtu kung’oa utumbo
Akapunguza upendo
Akaninyima na tendo
Nifanye nini nimechoka?
Raha ya kitandani, muwe wawili
Mgusane gusane yenu miili
You lie me everyday
Kumpenda kosa jamani
Akanifanya hayawani
Kwa kuniacha njiani
Masikini kumbe penzi langu bure
Chorus
Muongo, muongo, muongo
Kumbe muongo
Muongo, muongo, muongo
Kanisave kaka eh
Muongo, muongo, muongo
Visa biza bina wanichora
Muongo, muongo, muongo
Kumbe muongo
Muongo Lyrics Verse Two
Aaah, aah, aah
Acha kulilia pendo maana ushenzi
Kila siku wanazaliwa dada
Wanazaliwa kaka
Ridhiki mafungu saba
Ikizidi na nne bahati
Na bahati hujaga kwa nyakati
Walahi
Kwake niliwekeza upendo
Ye hakuwa na malengo
Penzi akaweka na pengo
Kupenda shida kabisa
Kama mtu kung’oa utumbo
Akapunguza upendo
Akaninyima na tendo
Nifanye nini nimechoka?
Raha ya kitandani, muwe wawili
Mgusane gusane yenu miili
You lie me everyday
Kumpenda kosa jamani
Akanifanya hayawani
Kwa kuniacha njiani
Masikini kumbe penzi langu bure
Chorus
Muongo, muongo, muongo
Kumbe muongo
Muongo, muongo, muongo
Kanisave kaka eh
Muongo, muongo, muongo
Visa biza bina wanichora
Muongo, muongo, muongo
Kumbe muongo
Muongo Lyrics by Barnaba Classic
ALSO, SING TO – I Feel Lyrics – One Six