Mungu Baba Lyrics – Arrow Bwoy
Love my papa
Dem call mi arrow Bwoy
Mungu Baba Lyrics Verse One
Eeh mungu baba
Kijana wako tena
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema
Ooh mungu baba
Ni mtoto wako tena
Ni mimi huyu mbele zako
Nina mambo mengi ya kusema
Ila naanza na shukurani, shukuranii
Vile umenijenga na mambo fulani, ahaa
Baraka tele, tele
Umenijazia sahani, ahaa
Thank you lord for my family
Thank you for beautiful fans
I pray they will never see calamity
No no noo eeh
I am so thankful, thankful ye ye ye
I am so grateful,
Grateful wo wo woo
I am so thankful, thankful ye ye ye
I am so grateful, I am so grateful yeah
Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje
Ah nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke, aje
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke, aje
Nikutoke ajee
Nikutoke aje
Mungu Baba Lyrics Verse Two
Mi si mtakatifu
Everyday i’m a sinner
Kwa neema na fadhili zako
Ukanipa uzimaa
Kwa maovu ninayotenda
Still you make me a winner
A wnner, a wnner winner
Aii nikumbushe nisisahau
Nikumbushe nisisahau ye ye ye
Acha nikupe shukurani
Mi nikupe shukurani, eeh
Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje
Ah nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke, aje
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke, aje
Nikutoke ajee
Nikutoke aje
Kila kitu naomba unanipa
Kisha nikutoke, aje
Umenijenga kwa hali na mali
Kesho nijichoche, aje
Ah nimeomba ukanipa
Kesho nikutoke, aje
Umenijenga kwa afya na mali
Kesho nikutoke, ajee
Nikutoke ajee
Nikutoke aje
Credit
ALSO, SING TO Tawala Lyrics – Eko Dydda – New Song 2020