Home GENERAL Mshumaa Lyrics – Alikiba

Mshumaa Lyrics – Alikiba

0
Mshumaa Lyrics

Alikiba – Mshumaa Lyrics

Alikiba – Mshumaa Lyrics Verse One

Ule ugonjwa uliacha nao
Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

ALSO, SING TO Nandy – Magufuli Tena Lyrics

Alikiba – Mshumaa Verse Two

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena!Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Tiriri tirara tata
tara tiriri tata
Ali oooh
Turururu

Credit: Ali Kiba

Previous articleHow to Deposit money from M-Pesa to DTB Bank account
Next articleJumia Black Friday Kenya Mobile Phone Offers 2019