Home NEWS Mpaka Kifo Lyrics – King Kaka Ft Whozu – 2020

Mpaka Kifo Lyrics – King Kaka Ft Whozu – 2020

0
Mpaka Kifo Lyrics

Mpaka Kifo Lyrics – King Kaka Ft Whozu – Download mp3 audio

I mean ushaipenda mtu yaani
Unaimagine ati kuna mtu mwingine
Anaweza mpenda, ni kukatsiwa
Mi nawe forever till death do us part

King Kaka Whozu

Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo

I mean when they say till death do us part
This is what I mean

Our love is forever hadi sisikii
Nataka nikulove hadi 6 fit
Ah silali sifeel sleep
Sikuli pia etc

I got you ma nakucover ka jale
Na tukiendelea wacelebrate ka Vale
Enemies washow wakae mbali
Mi ni wako, kwani wataduu?

I still love you hata kama ni taboo
Nikuchore kwa forehead kama ni tattoo
Na tunashare kama ni tu doo
Si ni septic ka Cohen kama ni ku-go

Kuna alternatives mob nitaje majina
I mean kuna poison for dinner
Aki si kwa baro tujirushe kwa mariner

Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo
Tupendane
mpaka kifo

(Me and forever mummy till death do us part)

Mpaka Kifo Lyrics Credit – King Kaka and Whozu

ALSO, SING TO – Geezer Lyrics – Rekles – New Song 2020

Previous articleGeezer Lyrics – Rekles – New Song 2020
Next articleIko Sawa Lyrics – King Kaka