Moyo Kiburi Lyrics – Aslay
Niacheni niseme
Nitambe mwenyewe
Na moyo wangu
Oooh, olala olah lalalahhh
Olala lah Olala lah
Moyo wangu Nata
Nata unavyotaka
Nata unavyotaka ila chunga
Usije leta maafa
Moyo wangu Jeuri
Moyo wangu kiburi ii
Nata unavyotaka ila chunga
Usije leta maafa
Moyo chagua pakutua
Pakuchutama pakukaa pakusimama
Pakutembea pakukimbia moyo
Aaah
Moyo wangu kichefu chefu (moyo)
Moyo umegoma vitu vichafu ( moyo)
Moyo unataka vitu nadhifu
Vya kuridhisha mwiili
Moyo hauna shobo
Moyo bingwa wa nyodo
Moyo hutaki shobo shobo
Shobo shobo ooh
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburiii
Aaah Jeuri
Moyo wangu Kiburii
Aaah Jeuri
Moyo wangu kiburi
Moyo Kiburi Lyrics – Aslay
Ukileta dharau moyo unakusahau (moyo)
Ukijiona mzuri moyo unaleta jeuri (moyo)
Moyo unakupa cheo
We ndo mmiliki wa hisia zangu
Yaani kama mti kwenye shina langu
Shina langu ooh
ALSO, SING TO Kushoto Kulia Lyrics – Harmonize – New Song 2019
Waapo walotaka kushindana
Na moyo wangu wakafeli
Teena walithubutu kupigana
Na moyo wangu wako chali chali
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburiii
Aaah Jeuri
Moyo wangu Kiburii
Aaah Jeuri
Moyo wangu kiburi eeh
CREDIT: ASLAY