Moto Lyrics – Walter Chilambo – Download Mp3 Audio
Verse One
Sijawahi ona
Zaidi yako Shammah
Sijawahi kuona
Kama wewe Baba
Sijawahi kuona Sifa
Za lako jina
Simba kabila la Yuda,
Ooh mwamba
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana
Kwa jina lako eeh
Unayetenda yasiyowezekana
Ayee, yee yee
Wewe unayeponya viwete wakatembea
Wewe unayeponya vipofu wakaona
Tena unayeponya viziwi wakasikia
Na mimi masikini wanipa habari njema
Chorus
Yaani mambo, moto moto
Oooh moto, kila kona ni moto moto
Fire, eeh moto
Yaani mambo, moto moto
Yaani kwako moto, moto
Yesu moto moto(Moto moto)
Mambo, eeeh moto
Verse Two
Kila ninapopiga goti, unanijibu Baba
Ninapomwaga machozi, unanifuta Baba
Hata wakati wa shida, taabu na yale mabaya
Hujawahi kuniacha Baba, daima wewe upo upande wangu
Nitalishika neno lako
Lisiniponyoke
Nitaziimba sifa zako daima milele
Daima milele, lele lelele
Unayefanya maajabu yaliyoshindikana
Kwa jina lako eeh
Unayetenda yasiyowezekana
Ayee, yee yee
Wewe unayeponya viwete wakatembea
Wewe unayeponya vipofu wakaona
Tena unayeponya viziwi wakasikia
Na mimi masikini wanipa habari njema
Chorus
Yaani mambo, moto moto
Oooh moto, kila kona ni moto moto
Fire, eeh moto
Yaani mambo, moto moto
Yaani kwako moto, moto
Yesu moto moto(Moto moto)
Mambo, eeeh moto
Verse Three
Yesu, Moto moto
Kila kitu kwake moto, Moto
Amewasha,Moto moto
Eeeh, Moto
Roho mtakatifu, Moto moto
Ametawala, Moto
Yaani mambo ni, Moto moto
Mapepo yanadanganya, Eeeh moto
Ah leo Baba uinuliwe Uinuliwee
Yesu uinuliwe Uinuliwee
Uinuliwe Uinuliwee
Wewe Uinuliwee
Baba wa huruma Uinuliwee
We ni mwingi wa rehema Uinuliwee
We ni mwingi wa neema Uinuliwee
Baba eeh Uinuliwee
Uinuliwe Uinuliwee
Moto moto Uinuliwee
Moto moto, moto
Moto moto,
Eeeh moto
Moto moto, moto
Moto moto,
Eeeh moto
Moto Lyrics Credit – Walter Chilambo
ALSO, SING TO – Ningekuwa Demu Lyrics – Dulla Makabila – New Song 2020