Miss Buza Lyrics – Rayvanny Ft Dulla Makabila – Download the Song
Dj kidogodogo
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Verse One
Rangi yake ya vidole Kama ndizi za kuchoma
Harufu yake ya wigi unapata Corona
Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona
Shughuli hajaalikwa kijola ka shashola
Ila chumbani si gogo mwali
Mbuzi kagoma kifo cha mende chali
Uvunguni sakafu juu ya dari
Ua mtoto anaupaka asali mama
Akiona simu anapita nayo
Eeh akiona walleti anapita nayo
Eeh akiona dundo kali anapita nayo
Yaani akiona begi kali anapita nayo
Ana msitu kwapani dala kifuani
Kwenye dala dala anapita dirishani
Ghetto anazima taa vipele mapajani
Ana dera jipya chupi la zamani
Ayoyoyo
Chorus
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Verse Two
Haya kelele ya kwanza kwa missi yake
We
Kelele ya pili kwa missi yake
We we
Kelele ya tatu kwa missi yake
We we wewe
Mtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Mtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Akivua shati muache, muache
Ameamua muache, muache
Akivua wigi muache, muache
Ameamua muache, muache
Katikati nataka loshindikana
Katikati nataka chura nyembamba
Mwanangu katikati nataka loshindikana
Katikati nataka chura nyembamba
Verse Three
Basi twende tunaenda kushoto
Wanangu kushoto, wahuni kushoto, Masisela
Turudi kulia, wanangu kulia
Masela kulia, wanangu
Basi tuende tunaenda kushoto
Eeh kushoto, wanangu kushoto, iii kushoto
Basi tuende twaenda kulia, wanangu kulia
Ati ati ati ati atia
Basi tuende teremka we mwanagu teremka
Teremka shika mabega teremka
Bwana teremka masisela teremka
Teremka shika kiuno teremka
Verse Four
We mwanangu teremka mama teremka
Teremka shika magoti teremka
Basi tuende nioneshe unavyochumaga mchicha tembele
Nioneshe unavyochumaga mchicha
Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele
Nioneshe unavyochumaga mchicha
Oya tuende kama unalo tingisha
We mama tingisha, tuone tingisha we dada tingisha
Kama unalo tingisha we mama tingisha
Tuone tingisha we dada tingisha
Basi tuende shosho we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
We mwanangu shosho we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
Basi tuende kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning’inia kama popo
Kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning’inia kama popo
Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwenda
Shika magoti unashukaa unashukaa unashuka
Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwenda
Shika magoti unashukaa unashukaa unashuka
Basi tuende timua vumbi timua shemeji atafua
Timua vumbi timua shemeji atafua
Bwana timua vumbi timua shemeji atafua
Timua tena timua shemeji atafua
Miss Buza Lyrics Credit – Rayvanny and Dulla Makabila
ALSO, SING TO – Kivuruge Lyrics – Nandy – Official Music Lyrics