Mende Lyrics Gere Parody – Dogo Charlie – Download mp3 Audio
Firigisi ndo nataka, donuts na supu we
Kwa mfuko sina money
Niko njaa tangu morning
Nitaitafuna tafuna
Basi mafupa nipewe
Kwa mfuko sina money
Niko njaa tangu morning
Nitaitafuna tafuna
Basi mafupa nipewe
Wooi nyama sijakuitisha
So ongeza plate moja
Na ulete the right for him
Na uweke kachumbari
Sina doo man ntavunjwa
Unakula na mi doo sina
Tutajitetea nani
There is nothing we can do
Acha story uma kitu umepewa nyama
Hebu tazama tafuna nyama
Tuwapige chenga kwa kudanganya
Tuwaonyeshe Mende
Sinoni na nakula nyama, ongeza choma
Tunatafuna, Hawajui vile tumeshapanga
Kuwaonyesha mende
Maana tumeona
Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona
Me nde nde nde
Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona
Me nde nde nde
Donuts tumewacha solo, it dissapoints us
With this big hole
Ma minyo ziko MA YO MA YO
Tumekula uchafu kwa food yako
Kumbe ningekula omena aah badala ya hizi
Nyama fried, kumbe ningekula kwangu asubuhi
Uji moto na kiporo
Eeh, pesa ya kuwalipa sina
Labda uchukue Nyanya
Ooh uchukue Nyanya
Ooh uchukue Nyanya
Vile mende nimetafuna
Labda uchukue Nyanya
Ooh uchukue Nyanya
Ooh uchukue Nyanya
Acha story uma kitu umepewa nyama
Hebu tazama tafuna nyama
Tuwapige chenga kwa kudanganya
Tuwaonyeshe Mende
Sinoni na nakula nyama, ongeza choma
Tunatafuna, Hawajui vile tumeshapanga
Kuwaonyesha mende
Maana tumeona
Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona
Me nde nde nde
Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona mende, Tumeona
Me nde nde nde
Sasa viazi tuwachongee CHONGA
Chonga chonga CHONGA
Chonga chonga chonga CHONGA
Viazi chonga CHONGA
Rafiki chonga CHONGA
Tumekula for real CHONGA
Na hatuna money CHONGA
Ona tunateswa bure CHONGA
Oh chonga CHONGA
Mende Lyrics Gere Parody Credit – Dogo Charlie
ALSO, SING TO – Weka Lyrics – Avril Ft Naiboi – New Song 2020