Home NEWS Mchuchu Lyrics – Hamadai Ft Aslay

Mchuchu Lyrics – Hamadai Ft Aslay

0
Mchuchu Lyrics

Mchuchu Lyrics by Hamadai and Aslay – Download Mp3 Audio

Mbimbirisa furushi bombakia
Mtoto kaumbika kinoma kama ni rupia
Akitembea (Ni shida), kajazia
Kote nimeruka ruka kwake tunduni nimeingia

Namwitaga dede (Dede)
Anapendaga hilo jina
Hataki zeze zeze
Miziki yake Georgina

Inye gwede gwede (Gwede)
Mpaka jalobina
Hataki zeze zeze

Tamba mchuchu (Ayeye)
Tamba tutoke
(Ayee)
Tamba mchuchu (Ayeye)
Aaaah (Ayee)

Tamba mchuchu (Ayeye)
Tamba tutoke
(Ayee)
Tamba mama (Ayeye)
Aaaah eh eh(Ayee)

Mama mama mama mama..
Aki utaua, utaua utajuta kukujua
Kajuta ukijali kukimbia
Utaukata utaufunua (Moyo wangu)

Uzuri asali ni nyuki ooh
Kalamba lamba
Yaani mkwepa mikuki ooh
Mjanja mjanja

Usilichezee penzi kamari beiby
Kamari kamari, iyee
Usijelinyonga penzi sadari beiby
Sadari sadari, iyee

Mtoto kuku nusu, mtoto chuku chuku
Mtoto nyanya tupu masala
Akipita huku mi napita huku
Yaani panya buku Mbaghala

(Beiby tamba)

Tamba mchuchu (Ayeye)
Tamba tutoke
(Ayee)
Tamba mchuchu (Ayeye)
Aaaah (Ayee)

Tamba mchuchu (Ayeye)
Tamba tutoke
(Ayee)
Tamba mama (Ayeye)
Baby tamba (Ayee)

Mtoto kuku nusu, mtoto chuku chuku
Mtoto nyanya tupu masala
Akipita huku mi napita huku
Yaani panya buku Mbaghala

Mchuchu Lyrics by Hamadai and Aslay

ALSO, SING TO – Baby Girl Lyrics – Msami Ft Alice

Leave a Reply