Home NEWS Mawe Lyrics – Nyandu Tozzy Ft Rayvanny & Mr Blue

Mawe Lyrics – Nyandu Tozzy Ft Rayvanny & Mr Blue

0
Mawe Lyrics

Mawe Lyrics – Nyandu Tozzy Ft Rayvanny & Mr Blue

Mawe Lyrics Verse 1- Nyandu

Kuna maku ameniDM (DM)
Anasema Nyandu siku hizi unazima sheli fegi
Umekuwa waki kinoma unahang out na kina vibegi
Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma mlinda wa mpaka nidedi
Siku hizi kitu na filter
Sidhani kama ungenijua kiundani
Ungekubali kuwa hater

Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini
Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini
R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli
Nimebaki mimi Siku hizi hawatuoni oni tunaishi low profile
Na Mungu anatuongoza
Hatujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza
Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza

Chorus – Rayvanny

Wana nyumba za vioo
Wanaleta shobo ,Eeeh wanaleta nyodo
Eeeh wanaleta shobo, Eeeh wanaleta
Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe

Mawe Lyrics Verse 2 – Mr Blue

I say kinyago, nakuchonga unanitisha
Lala na bango na team haitovunjika
Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta
Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha
Hey Mr Dj twende kwenye replay
Hey Mr Wivu we mpaka chuki ziishe
Bongo tuiwakilishe mkunga usimdhalilishe
We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe

Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop
Najulikana sana angani Mr Pipa
Mashoot makali jiandae golikeeper
Hiphop inauza na getini mtalipa
Kilomita nyingi nanyoosha goti
Mi ndondosha verse we ndondosha pochi
Nadodosha noti unadodosha chozi
Mi nagonga copy kagonge goti

Chorus – Rayvanny

Wana nyumba za vioo
Wanaleta shobo ,Eeeh wanaleta nyodo
Eeeh wanaleta shobo, Eeeh wanaleta
Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe

Tunatupa mawe, eeh mawe
Tupa mawe, eeh mawe
Tunatupa mawe, eeh mawe
Mawe, eeh mawe

ALSO, SING TO Shida Ndogo Ndogo Lyrics – Whozu

Credit

Nyandu Tozzy, Rayvanny and Mr Blue