Masharti Lyrics – Vivian Kenya
Vivi, vivi, vivi
Eeh..Iyeee.. Uuuh yeeeaah
Eeh.. eh.. Iyeee
Kwa Ilogos Music yeeaah
Mapenzi bila Masharti
Masharti
Nakupenda bila Masharti
Masharti
Mi nakupenda my sojaa
Izidishe mo mo mo
Uniongeze na ma-dollar
Njoo Kwangu njoo njoo njoo
Babe nakufikiria daily
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you
Baibe nakufikiria daily
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you
Eeh Iye! Eh Iye
Coz I’m in love with you
Eh Iye! Eh Iye !
Coz I’m in love with you, I’m in love
Leo keja kutawaka Moto fire
Omutima kwe ko ko
Aki ya nani leo lazima utanisort
Baby boy we-ko-ko
Mapenzi bila Masharti
Masharti
Nakupenda bila Masharti
Masharti
Sitasikia another man stori
Sipendi uwongo
Ninacho-ona nikikutazama
Ni moyo wako
Baibe nakufikiria daily
Hapa nakuandalia Keki
Tuikate mi na wewe baibe
Coz I’m in love with you
Vivi eh eh eh eh
Eeh Iye Coz I’m in love with you
Vivian
Coz I’m in love with you
Mapenzi bila Masharti
Masharti
Nakupenda bila Masharti
Masharti
Lalalalalalala
ilogos music
Lalalalalalala
Uuuuuuhhh
Mapenzi bila Masharti
Masharti
Nakupenda bila Masharti
Masharti
Vivi
Eh eh eh eh
Masharti
Uhh masharti!
Masharti Lyrics Credit – Vivian Kenya
ALSO, SING TO – Nyege Nyege Lyrics – Breeder LW Ft Odi Wa Murang’ a, Benzema