Home NEWS Masauti – Inawauma Lyrics

Masauti – Inawauma Lyrics

0
Inawauma Lyrics

Inawauma Lyrics by Masauti – Download Mp3 Audio Here

Intro

Inawauma Hao
Masauti
Inawauma Hao
Inawauma Hao, Kenyan Boy
Ma hao ma hao

Inawauma Hao Uma
Inawauma Hao
Uma
Inawauma Hao Uma
Tunavyo pendana

Verse One

Macho yanawatoka
Wakituona mi na we
Roho zawakereketa
Tunavyopendana na We

Wanasubiri pendo kuvunjika
Watasubiri sana we
Kitambo mizizi nimeshakita
Nimeridhika na We

Usijali wakikuita kimadaaa
Mama we wapoteze
Penzi lako risasi umeni murder
Nishakufa kwako we Eeh

Chorus

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Tunavyo pendana mi na weee

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Acha Roho zao ziwaume

Inawauma

Verse Two

Penzi letu la kibabi
Wivu wanatuonea
Inawauma

Wanalewa ma konyagi
Si tunapiga Belaire
Inawauma

Chuma changu cha Doshi
Vyao vikaragosi
Inawauma

Hao Mama
Inawauma hao
Hao Mama hao

Tuwaache watatizike
Si tufuate yetu tuwachoree
Kwenye penzi tumakinike
Tusiwaruhusu wasogelee

Insta tukiposti vi picha picha
Na vi emoji vya makopa kopa
Ringisha Mama Deka Deka
Ma Ex waone uki doda doda

Chorus

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Tunavyo pendana mi na weee

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Acha Roho zao ziwaume

Inawauma

Verse Three

Penzi letu la kibabi
Wivu wanatuonea
Inawauma

Wanalewa ma konyagi
Si tunapiga Belaire
Inawauma

Chuma changu cha Doshi
Vyao vikaragosi
Inawauma

Chorus

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Tunavyo pendana mi na weee

Inawauma uma, uma, Inawauma uma, uma
Inawauma uma, uma,
Acha Roho zao ziwaume

Inawauma Lyrics by Masauti

Also, Sing To, Sauti Sol – Insecure Lyrics

Leave a Reply