Maria Citizen Song Lyrics – Maria Citizen TV Series
Maria Citizen Song Lyrics Verse One
Binti Kichaa
Mwingi wa Balaa
Asiyejua Kiza
Wala Taa
Binti Kichaa
Mwingi wa Balaa
Kula Kulala
Riziki yake Jalali
Chorus
Maria, Maria , Maria, Maria
Maria Citizen Song Lyrics Verse Two
Binti wa Kitaa
Maisha ya Njaa
Mpekuaji ana
Ndoto za kupaa
Ndoto za mfalme
Mahabuba
Chorus
Maria, Maria , Maria, Maria,
Verse Three
Maria wa Kitaa
Bahati nasibu imekukaa
Maria wa Kitaa
Imani moyoni imekujaa
Chorus
Maria, Maria , Maria, Maria
ALSO, SING TO Wajinga Nyinyi Lyrics – King Kaka – New Song 2019