Mare Mare Lyrics – Matata Ft Lamaz Span K.O.B – Download MP3 Audio
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Verse One
Mami we ni mali sio malimali
Ndani ya dera kama msumari
Niko na wish na sio gari
Na ka ni ngoko mimi nishamarry
Mavela zimeshika kijela, msela
Put your hand in the air make a feast
Mandela kwa jela na Stella ndo qwela
Ka ni ngoma acapella ka ni mbosho  kwa hela Nikuonyeshe umbrella
Niekee man,
shafashi na mbosho
Niekee man,
nyendete kigoco
Niekee man,
karedio ga coro
Niekee man, niekee man, niekee man
Chorus
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Verse Two
Adam na Hawa pale Eden
Wako majan madawa wanashasha ngale
Wameshikwa na njaa wanashindwa wakule gani
Na kuna nyoka inamwaonyesha kule katikati sare
Staki noma hii chakula ni ngori
Imebarikiwa sana lakini ina ngori
Niyakusare sikumarry mbogi si kimonyoski
Na ni bush ina burn kushinda ile ya Moses
Niekee man,
shafashi na mbosho
Niekee man,
nyendete kigoco
Niekee man,
karedio ga coro
Niekee man, niekee man, niekee man
Chorus
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Verse Three
Niulize kanakaa vile kanakaa kwa pichaa
Au toto ni mafilter?
Na nikitokea nako katoto katachachishaa
Itabidi nimekaficha
Kanaweza pika chapo na vyombo safisha
Au form zake ni mapizza?Buda boss
Kila saa baby can we take a picture
Au katachoreshwa gizaa
Hako kakitu mi nakatamani
Lakini kitu nayo inataka money
Aki ya nani but hii toto mali
So mi aki ya nani, so mi toto mali
Chorus
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Haka ka nguna ni kamali au mare mare
Ni kamali au mare mare
Haka ka nguna ni kangale au shashamane
Ni kangale au shashamane
Mare Mare Lyrics Credit – Matata and Lamaz Span K.O.B
ALSO, SING TO – Shrappin Jinja Lyrics – Boutross Ft Dope I Mean – Song 2020