Home NEWS Mapenzi ya Kweli Lyrics – Stephen Kasolo

Mapenzi ya Kweli Lyrics – Stephen Kasolo

0
Mapenzi ya Kweli Lyrics

Mapenzi ya Kweli Lyrics – Stephen Kasolo

Bwana mwenye mapenzi ya kweli
Penzi ya kweli
Nitakuona Bwana

Verse One

Niliodhani watanipa raha
Waliniacha kwa kilio
Nilioona wa karibu sana
Walinipasua moyo
Lakini mimi sifi moyo maaana
Haya Yesu alipitia
Na tamanio langu kubwa mimi
Ni kumuona bwana

Chorus

Nitamuona Bwana
Mwenye mapenzi ya kweli
Nitamuona Bwana mi
Na kilio kitakoma
Nitamuona Bwana
Anibariki kwa furaha
Na mambo yaliyonivunja moyo
Yasahaulike kabisa

Mapenzi ya Kweli Lyrics Verse 2

Mambo mengine tunayopitia
Yanatuacha kwa maswali
Kwanini mimi nipitie haya
Na ninampenda Mungu
Lakini mbali twasahau kwamba
Ni mitihani tunafanya
Na ukishinda majaribu yote
Mtihani umepita

Chorus

Nitamuona Bwana
Mwenye mapenzi ya kweli
Nitamuona Bwana mi
Na kilio kitakoma
Nitamuona Bwana
Anibariki kwa furaha
Na mambo yaliyonivunja moyo
Yasahaulike kabisa

Mapenzi ya Kweli Lyrics Verse 3

Tunaotenda wema kwa wengine
tusichoke kutenda
Wanaopanda kwa machozi eeh
watavuna kwa furaha
Ole wao walipao wema
kwa kutenda mabaya
Utavuna ulichopanda
jiepushe na ghadhabu ya Mungu

Chorus

Nitamuona Bwana
Mwenye mapenzi ya kweli
Nitamuona Bwana mi
Na kilio kitakoma
Nitamuona Bwana
Anibariki kwa furaha
Na mambo yaliyonivunja moyo
Yasahaulike kabisa

Verse 4

Nitamuona Bwana(Nitamuona Bwana)
Yeye mwenye mapenzi ya kweli(Nitamuona Bwana)
Nitafutwa machozi niliyolia(Nitamuona Bwana)
Nitamuona Bwana eeh(Nitamuona Bwana)
Wacha kulia mama yangu(Nitamuona Bwana)
Utafutwa machozi uliyolia(Nitamuona Bwana)

Mnaolia nyamazeni kimya(Nitamuona Bwana)
Kilio ni usiku nakwambia(Nitamuona Bwana)
Mapambazuko yaja(Nitamuona Bwana)
Umeumizwa moyo mama nyamaza(Nitamuona Bwana)
Umeumizwa moyo ndugu nyamaza(Nitamuona Bwana)
Nitamuona Bwana

ALSO, SING TO Ile Kitu Lyrics – Bensoul ft Kaskazini

Credit

STEPHEN KASOLO