Home GENERAL Mambichwa Lyrics – Magix Enga Ft Boondocks Gang

Mambichwa Lyrics – Magix Enga Ft Boondocks Gang

0
Mambichwa Lyrics

Mambichwa Lyrics – Magix Enga Ft Boondocks Gang – Download Mp3 Audio

Yeah mambichwa, aha mambichwa
Mambichwa mambichwa
(Magix Enga on the Beat)

Niko na bash kuingia kam na G bag
Na kumejaa sijui hata majina
Unaitwa nani? (Nilimaliza kusoma)
Anajibu vitu hata sijamuuliza

Ako na kibenje, ndani imejaa manyongi
Ako na mambichwa anasema ye ni pedi
Ushai choma ukasia tumbo kwa mgongo(Ah zii zii)
Unambeba ukiamka ni ong’ong’o(Sijai)

Zimenishika najiona niko na doh
Ayayayaya kumbe ni jaba
Zimenishika najiona niko na doh(Kwa mfuko)
Ayayayaya kumbe ni jaba

Yeah mambichwa, aha mambichwa
Mambichwa mambichwa
Yeah mambichwa, aha mambichwa
Mambichwa mambichwa

Njoki nadai kukusesea kwa choo
Doki anadai kukudungia kwa choo
Njeri nadai kukupatia kitom
Head shoulder knees and toes

Bend over miss and pause
Wangare si unapenda makagare
Amejibeba utadhani ako ngangare
Na utoto utadhani ako nursery

Alitekwa na Chris, utadhani ni Kantai
Ako dryspell utadhani ni masai
Ikus inatupa utadhani ni mortuary
Anakatwa utadhani ni butchery

Ni kimbichwa changu, nimejegwa na pedi
Nasipei mtu, nakivuta nimedi
Ni kimbichwa changu, nimejegwa na pedi
Nasipei mtu, nakivuta nimedi

Mi ni Odi na napenda dina
Na jegi shapeless ka kisogo ya Obinna
Na leo kasi na rubber mi nina
Chimba rodinyo kisinyore ya loya

Staki stori mingi mi nadai kukukemba
Na ka ungekuwa tire singebakisha ata pyenga
Nilikufunga bao juu nilinyanyisha refa
Na abudu ndom, jegi, turi na bado Ebenezer

Yeah mambichwa, aha mambichwa
Mambichwa mambichwa
Yeah mambichwa, aha mambichwa
Mambichwa mambichwa

Seti mambichwa, vinchi da vinchwa
Aiyayayaya si kashajipa
Kata mawaya mahaga tushatinga
Cheki si mabooze but wanapenda timber

Seti tu malooks ni wahindi kalasinga
Vile wako ready tuko Subway cheki simba
Niza Tom and Jerry madimanga na majiba
Aii twende nazima

Nimekunywa ng’ang’o bila jina
Sembe leteni na dozen mzima
Rende ni geri mvinyo naminya
Magix Enga hapa tu ni kuwatinga

Oxygen takatifu punga hewa(Mambichwa)
Black mamba ndani ya msitu inataka(Mambichwa)
Ni mashada na mbivu vuta hewa(Mambichwa)
Vuta hewa hadi unatosheka

Oxygen takatifu punga hewa(Mambichwa)
Black mamba ndani ya msitu inataka(Mambichwa)
Ni mashada na mbivu vuta hewa(Mambichwa)
Vuta hewa hadi unatosheka

Mambichwa Lyrics Credit – Magix Enga and Boondocks Gang

ALSO, SING TO – Mathogothanio Lyrics – Krg the don Ft Boondocks Gang

Previous articleRieng Lyrics – Boondocks Gang – Song 2018
Next articleMboko Haram Lyrics – Boondocks Gang – Song 2019