Mama Zao Lyrics Baba Lao Parody – Padi Wubonn
Tumepigwa muti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama zao(Mama zao)
Huyu sio baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)
Eeeeeeh sioni baba zao (Baba zao)
Bloody baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)
Verse One
Nduma kwa muhogo inangoja coacoa
Leo mwanaume alete zogo
Naeza kumuingia ngoto ngoto
Moja baridi moja moto
Mmechoka eti?(Aaah wapi)
Mnataka lala?(Aaah wapi)
Tumbo limezidi?(Aaah wapi)
The baby is kicking(Aaah wapi)
Chunga usitapikiwe songa hapa
Mtoto amenyamba nina heartburn
Kiuno vile imeganda
Hadi ninanuka msamba
Leta baiskeli(Saa wapi)
Twende maternity(saa wapi)
Kashafungulikana(saa wapi)
Kameshafungulikana(saa wapi)
Mama Zao Lyrics – Padi Wubonn
Tumepigwa muti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama zao(Mama zao)
Huyu sio baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)
Eeeeeeh sioni baba zao (Baba zao)
Bloody baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)
Sitaki usengenyo
Mwambie mapema(Mapema)
Ama niambie Governor
Kwa shimo alitema (alitema)
Anacause this alafu anahepa
Eeeeeee huwezi hepa
Tunabaki kusononeka
Eeeeeee huwezi hepa
Kwanza akinikatia, Eeh alikukatia
Kisha nimpe kakitu, ulimpa kakitu
Anacheza kama mwangi
Kuja unikande kande
Eee tunawatafta, vidumee
Wakishanoki, vidumee
Ukiinua faster, vidumee
Wanachapa chapa, Mchungee
Kisii utarogwa tena
Kisii kisii utarogwa tena
Kisii utarogwa tena
Kisii kisii utarogwa tena
Kisii utarogwa tena
Kisii kisii utarogwa tena
Kisii utarogwa tena
Kisii kisii utarogwa tena
Mama Zao Lyrics – Padi Wubonn
Tumepigwa muti na baba zao(Baba zao)
Sisi ndio mama zao(Mama zao)
Huyu sio baba zao(Baba zao)
We ndio baba yao(Baba yao)
Eeeeeeh sioni baba zao (Baba zao)
Bloody baba zao(Baba zao)
Wakwende baba zao(Baba zao)
Hatuogopi makarao(Makarao)
Nakumbuka akipanda
Na ile shati alivua(Pata mhogo)
Nakumbuka akipanda
Na ya ndani alivua (Pata mhogo)
Inua inua(pata mhogo)
Pendua pendua(pata mhogo)
Eeeh tunanuka makwapa
Aki napiga Yope(Huwezi)
Ninapiga Yope(Huwezi)
Walaii ninapiga Yope(Huwezi)
Nacharaza Yope(Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeeeeeh!
Aki napiga Yope(Huwezi)
Ninapiga Yope(Huwezi)
Walaii ninapiga Yope(Huwezi)
Nacharaza Yope(Huwezi)
Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeeeeeh!
Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeeeeeh!
ALSO, SING TO Maombi Lyrics – NADIA MUKAMI
Credit
https://www.youtube.com/watch?v=YBYvzC3aVFQ