Mama Lyrics – Kayumba DOWNLOAD MP3 AUDIO
I sing for you mama
I love you ma,
Mama mama
I love, I love you ma, Mama mama
Maneno yako na busara zako
Zinazunguka kichwani mwangu
Popote nilipo upo mama
Unasema na moyo wangu
Kwenye mazito na magumu
Usia wako ndo ngome yangu
Hupendi nikijilaumu
Nikipatacho ndo fungu langu
Ulisema mama, narudi utoto, Ooh
Moyo unaniwaka moto
Jinsi ulivyoniendo usiku haulali, Ooh
Vihoma homa ama baridi kali
Ukanilinda kama mboni yangu
Hata kama nikisema nikushukuru
Pesa na mavogi bado
Hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
Kufikia upendo wako bado
Hata kama nikisema labda nikushukuru
Pesa na mavogi bado
Hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
Kufikia upendo wako bado
Uko tayari udhalilike, Huruma yako mama
Ukanyage miba mi nipite, Huruma yako mama
Ushinde na njaa mi nishibe, Huruma yako mama
Ukanyage miba mi nipite, Huruma yako mama
I sing for you mama
I sing for you mama
Mama, hii ni yako mama
Ulichana nguo zako nistiri mwana
Mama, wa kupendwa sana
Walivumilia leba walipotupata
Wapo walokataliwa, Mama
Na milango kufungiwa, Mama
Nyumbani kutimuliwa, Mama
Na mali kudhulumiwa, Mama
I love you ma
Hata kama nikisema labda nikushukuru
Pesa na mavogi bado
Hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
Kufikia upendo wako bado
Hata kama nikisema labda nikushukuru
Pesa na mavogi bado
Hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
Kufikia upendo wako bado
Uko tayari udhalilike, Huruma yako mama
Ukanyage miba mi nipite, Huruma yako mama
Ushinde na njaa mi nishibe, Huruma yako mama
Ukanyage miba mi nipite, Huruma yako mama
I sing for you
Mama
I love you ma
I love, I love you
Ma I love you ma
I love, I love you ma
Mama Lyrics Credit – Kayumba OG
ALSO, SING TO – Kata Remix Lyrics – Ommy Dimpoz, Nandy, Khaligraph, Redsan