Home GENERAL Mama La Mama Lyrics – Rayvanny Ft Mr. Blue – New Song...

Mama La Mama Lyrics – Rayvanny Ft Mr. Blue – New Song 2020

0
Mama La Mama Lyrics

Mama La Mama Lyrics – Rayvanny Ft Mr. Blue – Download MP3 Audio

Verse One

Mama, Mama
Mama la Mama

Mola amenipa sauti niimbe
Nakuimbie wewe aaii
A woman of my life baby mama
Nakupa mabawa, fly

Nani ata doubt apinge
Uzuri wako wewe, my
Want a real wife huna dwawa
Niende kwa mwingine, why

Cha mapenzi kinaa kipime
Uone dhahiri upendo wangu
Usije kunitupa wewe
Aaaa wewe

Sina mwingine
Na sitobadili chaguo langu
Moyo wangu nakupa wewe
Aaaa wewe

Chocolate colour nywele laini
Lips mafuta na zina shiney
Nguo za kung’ara your designey
Thanks to the lord now you’re miney

Sema pwani ya mabara wako finey
Tukitoka out tukanywe winey
Figure Eight kinara sio niney
Unapenda wasafi tutaku signey

Chorus

We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama

We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama

Verse Two

Aah, yo ah

Nikitazama sura yake
Namwona modo
Naiona taswira ya adabu
Siioni nyodo

Nauona papai alafu nafwata embe dodo
Nawaona wasopenda amani wote macho kodo
Ningepeleka wapi hichi kichwa kigumu
Ningepata wapi mwanamke wa kudumu

Ajiunge na wasafi tusukume gurudumu
Na munajuanga sitaki haya mambo ya kunywa sumu
Aah mama la mama ooh mama mia aah
Kwako nimezama nimezama nimezamia

Nihifadhi kama maji kwenye mwili wa ngamia
Usijali kuhusu mambo ya tango na vibamia
Nichakaze shawty nikanyage sorry
Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori

Tafadhali shawty
Usinipandishe mori
Na ukinipa nyama
Naila kama mnyama pori

Chorus

We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama

We ndio mama, mama
Mama la mama
We ndio mama, mama
Mama la mama

Mama La Mama Lyrics Credit – Rayvanny and Mr. Blue

ALSO, SING TO – Teamo Lyrics – Rayvanny Ft Messias Maricoa – New Song 2020

Previous articleTeamo Lyrics – Rayvanny Ft Messias Maricoa – New Song 2020
Next articleOne Lyrics – Rayvanny Ft Karen – New Song 2020