Home NEWS Make Up Lyrics – Ochungulo Family

Make Up Lyrics – Ochungulo Family

0
Make Up Lyrics by Ochungulo Family

Make Up Lyrics by Ochungulo Family – Download Mp3 Audio

Siri ya urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Siri ya urembo ni make up,
Eh ni make up

Si urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Si urembo ni make up,
Eh ni make up

Benzema

Hello hello ni Mebylline
Ni Alehandro ntakusaidia aje Lyn
Mlisema kutakuwa na offer juzi
Ati mtafanya nikae kama Chung’li

Ati mtafanya nikae italian wa Azuri
Ari kuna venye eyelashes zenu ni mavuli
Ati pata pesa ndio utajua maana ya sabuni
Usipake foundation hukaa na vumbi

Kuna dem anachanga changa
Anabuy make up ya kupaka paka
Kuku kuku manga manga
Turi turi dara dara

Chorus

Siri ya urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Siri ya urembo ni make up,
Eh ni make up

Si urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Si urembo ni make up,
Eh ni make up

Nelly The Goon

Siri yangu when i wake up
I bake up
Siri yake when she wake up
Ni make up

Atoti mascara
Lipstick imekaukia kwa sigara
Crop top umebuyia past Ngara
Swara swara mi na gwara

Dem hutoa maziwa na hakulagi nyasi
Wazi wazi unaweza chwaka na wasiwasi
Ni karembo kanapiga mpaka nywele pasi
Side chick ndio huwacha lipstick kwa sharti

Chorus

Siri ya urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Siri ya urembo ni make up,
Eh ni make up

Si urembo ni make up,
Mmmm ni make up
Si urembo ni make up,
Eh ni make up

Dmore

Seti Seti Seti hiyo duri Wilbroda
Seti seti Seti kigode na mafadhela
D niko na keys for the city
Kingpin sits thy city

Tycoon mpaka Kariobangi
Papa juu ya goro na manjiri
Nina madem huleta ushuru
Madem mapoko uzia uhuru

Madem mapedi buru buru Madem
Masufferer kutoka Uthiru

Yes hello I was wondering
If you could play That song again
Which One men?
The one that goes….

Nelly The Goon

Dj ongeza volume ndio tunyambishe speaker
Namdinya na jiba but ka ni wa Thika
Namdinya na njiva namdinya ka FIFA
Akinikasirisha namdinya kwa Pipa

Namdinya kwa Nissan
Ukinilipa tamdinya kwa G-class
Ai ya ya ya

Nabonga vile nataka
Hamuwezi nikataza
Ka inakuumiza kuna Daudi Kabaka
Ndio upate baraka

Na ukiniuliza unapenda mahaga
Ya dem Kahaba na akikulisha
Utalazwa Kenyatta ushonwe viraka
Ai ya ya ya

Benzema

Ezekiel Mutua nasikia mtoi wako
Anaskiza Gengetone
Ezekiel Mutua nasikia Bibi yako
Anapenda Gengetone

Mahater hater ni wengi
Nawatahiri leo na Machete
Hao bitch riam kwa gazeti
Headline news teli

Na leo sikam harusi
Nakam na bakuli imejaa matusi
Nawa murder ka HIV virusi
Mnatupangia sisi mazishi

Wajinga wajinga wajinga nyinyi
Wajinga wajinga
Mtuache sisi
Wajinga wajinga wajinga Nyinyi
Wajinga wajinga
Mtuache sisi

Make Up Lyrics by Ochungulo Family

ALSO, SING TO – Chike Hera Lyrics – Prince Indah

Leave a Reply