Maharagwe Hatari Lyrics Hodari Parody by Dogo Charlie – Download Mp3 Audio
Tuende tuende tupange liney liney
Ninawashwa washwa Aah aaaaaah
Walinipa vidonge vya mahindi mahindi
Nikatapatapa aaah aaaaaaaah
Mmm
Mi nawe tutakosana usiniambie ujinga
Mi niache kusimama ati nisimame wima
We bana tutakosana sitaki fitina
Ukichoka kusimama waweza inama
Nalegea
Nikisimama nje ya choo, nje ya choo
Nalemewa
Harufu mbaya yangu na yako, yangu na yako
Maharagwe hatari
Hatari kwenye tumbo
Jamani hatari
Hatari kwenye tumbo
Maharagwe ya jirani hatari
Hatari kwenye tumbo
Usile kwa jirani ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Na curfew ya jana
Ilifanya niende kwa neighbour
Chumbani nikapata
Wamepika maharagwe kwa wingi
Nikapewa sahani mbili
Nikawashwa na pilipili
Supu hata sikufikiri
Kunywa nishibe
Maharagwe yake kumbe ni mbichi
Nikawashwa dakika mbili
Nani sasa ningelaumu
Kama si yeye
Nikakesha sikulala
Usiku wa manane jana
Mke wangu akakataa
Tusifunikane Kanga
Nikafukuzwa kuenda huko
Ndio nisilale kwa kitanda
Harufu niliotoa
Ilimfanya akakasirika
Nalegea
Nikisimama nje ya choo, nje ya choo
Nalemewa
Harufu mbaya yangu na yako, yangu na yako
Maharagwe hatari
Hatari kwenye tumbo
Jamani hatari
Hatari kwenye tumbo
Maharagwe ya jirani hatari
Hatari kwenye tumbo
Usile kwa jirani ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Kweli maharagwe hatari
Hatari kwenye tumbo
Jamani hatari
Hatari kwenye tumbo
Maharagwe mbichi hatari
Hatari kwenye tumbo
Maharagwe mbichi ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Dogo charlie nawaambia ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Kula kwa jirani ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Ooh utateseka ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Uliza mike sonko ni hatari
Hatari kwenye tumbo
Maharagwe Hatari Lyrics Hodari Parody by Dogo Charlie
ALSO, SING TO – Mapito Lyrics – Mr. Seed