Magode Choke Lyrics – Zzero Sufuri
Intro
Yeah yeah,, ni Zzero
Kama sos mi ndo sos
Mi ndo boss mi ndo world boss
Cheki
Jeshi ni mbaya na wote wako mavodoski
Mbogi ni mbaya mbogi bado kimonyoski
Tamasha leo ni ile hamjawahi onaga hauskii
Mulinge kam Joh unatokea ukiwa na kinduma
Chorus
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz

Si niko juu ya magode magode na bado choke

Magode Choke Lyrics Verse One
Ati fofofo ni kaa movie ya Dj Afro
Prrrr ni kwenye maintroduction
Sijalala kabisa nimeshinda nikiwa macho
Magode mashada nimeshinda nikizimacho
Kwani iko nini nikikula kile nikonacho
Cheki vile nimenyanya ka disease iko kwa macho
Niko jaba ndani ya umoiiiiiineer jaba ndani ya umoiiiiineer
Natakaga tu ma muratiiina nachinjiaga dem ako na itiiina
Mi naiita inaniskiza
Ikijipa bado nitaifinya
Cheki kwanza tuko friday
So kesho mi siko job
Na ntaikulia kila mahali
Hakuna mahali sikojoi
Rada safi ukipatana
Fom ni leo mi ndo natoa
Ka ni kajaba ka ni ka choke
Chorus
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Magode Choke Lyrics Verse Two
Walisema nduru imepigwa ni ma wowowo
Moshi unacheki ni ya vuvuvu
Mangeus kwa tamasha ni wa nguvuvu
Kata na mapanga kisha sususu
Rada safisha chunga kuchachisha
Wakisha itisha macho ivisha moshi pitisha
Matisha bado lipisha nanga inaamisha
Lalisha denge imeweza mtaani fikisha
Tarimbo rungu pigisha
Ndani ingisha vigidha
Bado na giza ka inatatiza
Ririma gode ni mzima
Bado unaichimba kizima
Na you ndego maina
Chorus
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Magode Choke Lyrics Verse Three
Cheki
Ati shada panda
Ganja Farmer
Kuyoyo ama kusota
Kulala kudoz ka muoga
Kudoz ka hujaoga
Sasa ona blunder
Mistake ya kwanza kumess na kitanda
You mean kukojoa kwa kitanda hiyo ni blunder
Chunga sana dear
Ukunywe sana beer
Unamess na mind beer
Ka ni no fine beer
Kanono come here
Kam alibuy dry beer
Ka ni maji kata beer
Ka ni strungi strong beer
Na ukidai kuna kahawa nakaa ka hujashower
Chorus
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode na bado hata sijadoz
Siko juu ya magode choke Siko juu ya magode choke
Si niko juu ya magode magode na bado choke
Yoh yoh cheki, ni 2020
Kwenye ki 420
Nawasha moja mbili tatu morio hadi 20
Ni 2020 kwenye ki 420
Nawashia leo mamorio hadi nihakishe wamebleki
Credit: Zzero Sufuri
CHECK OUT: Sasa Pambana Lyrics – Jasper Murume – Song 2020