Home GENERAL Macondition Lyrics – Timmy Tdat Ft Magix Enga – New Song 2020

Macondition Lyrics – Timmy Tdat Ft Magix Enga – New Song 2020

0
Macondition Lyrics

Macondition Lyrics – Timmy Tdat Ft Magix Enga – Download Mp3 Audio

Verse One

Nikikupata hey, niko sorted
Wacha wale wanaodai niwalipe wote
Huyo sio wangu huyo ni wa Voke
Uliza majirani niliwatoka wote

Hey hey, my baby girl wacha drama
Na kwa hii nyumba mimi nitahama ey
Hehee naomba tu unipe mwaka
Kabla haijaisha nikupe Hummer

Maisha ina maganji sana
Keja yangu bado ina maganji sana
Maisha ina maganji sana
Keja yangu bado

Chorus

Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah
Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah

Verse Two

She want a in a dollar man
Chop on the money plan, isha shida yaani
Awe anavaa kupendeza sio shati na blazer
Fine girl, and she make me do me kinda believe
Na ni kapeng ting, so vitu kanadai
Siwezi kataa, siwezi mind

Nishakasomea mbali
You wanna mess with my heart no no
Nishakasomea mbali
You wanna mess with my heart no no

Chorus

Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah
Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah

Verse Three

Umekuwa bad girl kitambo ulikuwa good
Ambiwa vitu nyingi unajifanya tu kabubu
Unaendaga kwa machali unajifanya uko skulu
Alafu unanisomea ni kama bado uko skulu

Hey girl o utanipa kamdudu
Machali wakikuita unasema kam to do
Girl, ugali na kasupu
Wanakudishi wanalamba nyaka kulu

Unanicheza mi
Mbona beiby girl unanitesa mi?
We mlittle girl so unanitesa mi
Mbona beiby girl unani?

Chorus

Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah
Naishi na
maconditions ooh
Naishi na
maconditions ooh yeah

Niko secured hata ka G4S
Nimekungoja form 34S
Uko na yule donga sai I guess
Ukiulizwa ha, ni ma excuses

Tena argument niko right
Ona bado unataka tu kuleft
Beiby girl hahahaha

Argument am right
Unataka tu kuleft

Macondition Lyrics Credit – Timmy Tdat and Magix Enga

ALSO, SING TO – Regrets Lyrics – 411 Society – New Song 2020

Previous articleKamkoba Lyrics – Mbogi Genje Ft VDJ Jones – New Song 2020
Next articleUrao Lyrics – Wakali Wao – New Song 2020