Home NEWS Maajab lyrics Mbosso song of 2019

Maajab lyrics Mbosso song of 2019

0
Maajab lyrics

We have written the best maajab lyrics below. You will without doubt fall in love with our maajab lyrics. Enjoy and remember to come back for more sweet lyrics. We provide the best lyrics.

NA NA NA NA NA
NA NA NA NA NA
NA NA NA NA NA
NA NA NA NA

Verse One

Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
Wallah kanipatia, anastahili sifa
Chumba kizima chanukia, Utuli kajifisha
Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha, na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngili, kwa mafuta ya karafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

Chorus

Maajab maajab, penzi lake la ajab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajab
Maajab maajab, penzi lake la ajab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajab

READ ALSO: Hodari lyrics mbosso bongo flava

Verse Two

Kifuani hunipaka halua
Mikono tende anazichambua
Anilamba…..
Kitandani humwaga maua
Mingeni hata chembe sikuwa najua
Anitoa ushamba…
Na nitake nini kwake
Niombe nisipewe…
Iwe pemba ama chake chake
Nichague mwenyewe….
Kanipa pombe roho yake
Ninywe nilewe….
Mambo shega
Yaani mwake mwake
Mangake msewe…..

Libandike Penzi kama gazeti walisome
Tuwaadabishe sangara shombo vibwenti
Tuwang’ong’e
Nikila nilishe
Chapati za alizeti
Ninone
Tuwafungishe
Mdomo uzi cement
Tuwashone

Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha, na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngili, kwa mafuta ya karafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

Chorus

Maajab maajab, penzi lake la ajab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajab
Maajab maajab, penzi lake la ajab
Maajab maajab, mahaba yake ya ajab

Ending

Halua Halua, Hunipa vitamu, Laini laini
Halua Halua, Kinyama cha hamu, uhondo utosini
Halua Halua, Sili kwa Kijiko, Nalishwa kwa ulimi
Halua Halua, Napewa hadi vya miiko, Sasa nitake nini

Artist: Mbosso Khan

Leave a Reply