Home LYRICS LYRICS | WANAWEWESEKA – RAYVANNY

LYRICS | WANAWEWESEKA – RAYVANNY

0
LYRICS | WANAWEWESEKA - RAYVANNY

WANAWEWESEKA LYRICS – RAYVANNY.

Part One

Wenyu uwivu wasijinyonge
Ila wapigwe shoti wafee
Kingasti wangu yuko hapa hapa
Usinishike bega niache

Nakupa yote mumunya,
tamu wa pipi mate
Baby kwa mapenzi huko chuo,
hauko tena kindergarten

Marashi yake ma, amechanganya na tangau
Mtoto kama saida karoli anavyo chambua karanga
Na simuwachi nampenda, ya pete mi chanda
L O V E,( i love you) kama kasimu muganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba watapasuka
Niki kuposti namba insta pata chafuka
Watatamani huhack waje kufuta

Chorus

Ooh lelele wanaweweseka
Wamekopa bundle watuperuzi, wanaweweseka
Mama nipe mambo tuwauthii, wanaweweseka
Basi cheka cheka uki deka deka mami, wanaweweseka

Part Two

Baby eeh, tausi maingona
Teke eeh umbo kifusi, nyuma kishinoni
Nikubebe eeh na wenye chuki wakate shingoni
Sitakilete eeh kina bunduki, na wanandalido

Udongo gani, unaokufinyanga mwali weh
Mganga gani alopiga manyanga mwali weh
Majungu simutachi ayaya, maneno sio radi ayaya
Jasho lina watoka maji, (I love you daddy)

Marashi yake ma, amechanganya na tangau
Mtoto kama saida karoli anavyo chambua karanga
Na simuwachi nampenda, ya pete mi chanda
L O V E,( i love you) kama kasimu muganga

Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba watapasuka
Niki kuposti namba insta pata chafuka
Watatamani huhack waje kufuta

Chorus

Ooh lelele wanaweweseka
Wamekopa bundle watuperuzi, wanaweweseka
Mama nipe mambo tuwauthii, wanaweweseka
Basi cheka cheka uki deka deka mami, wanaweweseka