NIMEKUZOEA LYRICS – NANDY.
Part One
AiyayaaYAA AiyayaaYAA AiyayaaYAA
Nikotulii baby kama maji ya mtungi
Nyonga puli baby nivute niishe nibaki kishungi (ayii)
Zuri baby nibandike nigande ka gundi
Makuli baby nilishe nishibe kitumbo ndindi (ayii)
Unanikoleza unanichombeza Unanilegeza ayii wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani kwenye meza
Tsunami jeneza ni wee
Nakupenda nakuwaza forever your my boo
Unipende nikupende
Nimekuzoea Nimekuzoea
Nime nime nime Nimekuzoea
Nimekuzoea Nimekuzoea
Nime nime nime Nimekuzoea
RELATED – LYRICS | NAANZAJE – DIAMOND PLATNUMZ
Part Two
Kazoe vyote kote mpaka kazoe
Kabobea kote Kabobea mpaka Kabobea tena
Naloe kote naloe mpaka naloe
Inakolea yote inakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati (ayayaa)
Nazungukwa na upendo (ayayaa)
Sa natokea wapi (ayayaa)
Kaziba kote ajaacha pengo (ayayaa)
Wanafikaga wapi (ayayaa)
Peku bila sendo (ayayaa)
Tufike saa ngapi (ayayaa)
Vyote tembea kwa wako mwendo (ayayaa)
Nakupenda nakuwaza
forever you’re my boo
Unipende nikupende
Nimekuzoea Nimekuzoea
Nime nime nime Nimekuzoea
Nimekuzoea Nimekuzoea
Nime nime nime Nimekuzoea