Home LYRICS LYRICS | NDOVU NI KUU – KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

LYRICS | NDOVU NI KUU – KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

0
LYRICS | NDOVU NI KUU

NDOVU NI KUU LYRICS – KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS.

Ndovu ni kuu (OG)
Itabidi wanijue ah ah ah(yea yea)
Basi weka mkono juu ah ah ah
You, eyy

Krispah

Vile na bam bam Police wana ubaya
Dame wako vile mahanjam Na mi sina ubaya
Kosea uniite handsome Huskii izo ni hekaya
Felicia na lisa Ivo ndo mi niliwaacquire
cheki
Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
Sku hizi vile anameza mara moja utagwaya
Na ananringia sana flat tummy hana tyre
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya

Mtoto wangu akiitwa KU ntakataa
Hakunaga masomo KU nmekataa
Unapeleka mtoi first year introduction
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction

Ndovu ni kuu Ahh ah ah
Na itabidi wanijue Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you Ahh ah ah
You
Ndovu ni kuu Ahh ah ah
Na itabidi wanijue Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you Ahh ah ah

Khaligraph

Na pull up na ngali ya colour ngween ka nafanyanga safcom
Luku kasuku lakini combato ni custom
Peng analia mi hupenda vile unalap njones
But juu sitaki kolona girl please put your mask on

Nikwendete pamela humeza ka tembe
Anapenda lollipop analamba ka pelemende
Lazima akuwe mukamba jina ya pili ni mwende
Mi naskia madem wakamba wanapenda ma KEND..

Kamecarry bam bam kanakaa kama mariah
Nakashow tunaenda london but kumbe ni othaya
Ntakosaje kupenda tam tam na jina ya kwanza brian
Dame anakaa screen ya samsung so vidole ziko required

Usichomee KU ao mastude hupata phd
Tapatana nao kilimani kama si westy
Social media
Ndo social studies
So nowadays ukitaka kuthigitha
We mwambie mkafanye GHC huh

Wale wamesoma ndo sampuli ya omollo G
Ata reproduction pia si ni topic kwa biology
Bora kuna chemistry pamela can just follow me
Vile ndovu kubwa noma sana nya ka bwogo G
Sina marafiki staki mbogi iniscrew, kwenda
Mnataka nblande kiasi ndo mni sue
Hii city ya usherati tabia mbovu ni true
Big up to krispah washajua ndovu ni kuu OG

Ahh ah ah
Aki walae washatujua Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you Ahh ah ah
You
Ndovu ni kuu Ahh ah ah
Aki walae washatujua Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you Ahh ah ah
It’s you

Boutross

Okay, mbaibe
Ashaniambia anapenda fom za kunilenga lenga
Anakaa mlami but mlami amesoteka
Nimezoea njeri ndalu na vaileta
Nimezoea msupa akinrolia kavela
Ati ana gorilla wall siwezi penya
Unadai mate na uko fom za ketepa
Ka huwezi buy your drink si basi kwenda
Mi nakupa kiss kwa clit na kill your status

Ahh ah ah
Na itabidi wanijue Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you Ahh ah ah
It’s you

Boutross
Ouuuuu!
Manzi yangu hukwaga sumu eey
Either nimepagawa au ni juju
Krispah
Mhh cocktail ya mmaasai na mkikuyu
Ako na gap kwa meno na bado she can chew you
Boutross
Ouuu! ama ni lugha hainaga luku
Kiswahili ninayo hadi kizungu
Krispah
Vile amenibam bam shiro
Eh mahbebogin shumartar
And im the badman she loves
Boutross
Ouuuu eeh
Foodtraps ziukweka kwa moods
Ka vile champagne huserviangwa nude
Krispah
Aii champagne huonja ka juice
Mi hupiga katusker juu

Ndovu ni kuu Ahh ah ah
Na itabidi wanijue Ahh ah ah
Basi weka mkono juu Ahh ah ah
Yes, you
You you