Home LYRICS LYRICS | FANYA – ETHIC ENTERTAINMENT

LYRICS | FANYA – ETHIC ENTERTAINMENT

0
LYRICS | FANYA

FANYA LYRICS  – ETHIC ENTERTAINMENT.

Cheki baby uko juu saana
Admission ni ka newcomer
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye me hufanya
Come uone venye me hufanya
Come uone venye me hufanya
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye mi hufanya

Ye ni newcomer mode amemweka deski
Ni siku ya kwanza na ashakuwa bestie
Tuko jo kwa lesson na ananiguza deki
Wiki haijaisha ako kwangu amebleki

Tukuwa close kama putha na ukuta
Nje kuna njeve we unacheza na mafuta
Naeza kuwa kidale na kesho upate shuksha
Hivo kila siku huwezi kuwa same

Mi hukaa nina kichaa after kuona figa
Kwanza hapo ndani ya buibui
Afande ka ni diva na amebeba silaha
Mi haki ya nani hainistui

Siezi hadi jo deny
Nakuja ka unanidai
Shida ni nyumba siijui
Rapper na anajidai
Rapper nakuibia rhyme
Mbona ju mi ni mrui

RELATEDLYRICS | NDOVU NI KUU – KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

Cheki baby uko juu sana
Admission ni ka ya newcomer
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye mi hufanya
Come uone venye mi hufanya
Come uone venye mi hufanya
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye mi hufanya

Nakupenda penda sana tena times 2
Hio figa ndani ya buibui ina ni whoo
Ata ukibebanga grenade bado inani ni who
Umeumbwa ukaumbika design ya kidungi

Bila pesa niko insecure
Baby hadi mtu wa mtura namshukuru daily
No wonder utanipata pata nakopa daily
Ndo nikubambe, baby ndo nikubambe
Baby ndo nikubambe

Cheki baby uko juu sana
Admission tu ka ya newcomer
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye mi hufanya
Come uone venye mi hufanya
Come uone venye mi hufanya
Na ka jo ni kupenda mara few sana
Come uone venye mi hufanya

Sina sheng ya msichana
Una udranya gani inabamba
Yangu ni ndranya
Leta utoto nijigeuze fafa
Nikubuyie pamper na nilete

Jua kijana anaweza kuwa msichana
Usiite wavulana pekee mavijana
Naskia birth cert unawekewa na matha
Na unajidai gangster

Previous articleLYRICS | NDOVU NI KUU – KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS
Next articleLYRICS | MY JABER – H ART THE BAND FT BRIZY ANNECHILD