Locust Parody Lyrics – Dogo Charlie – Watch Video
Tunapenda Locust, nyama yao
Ugali na Locust…
Ugali na locust,
Supu ya locust
Ugali na locust,
Supu ya locust
Shikeni hizo dede, mlete tuzipike
Tuzikule na sembe, tushughulikie tumbo
Locust ni mboga yoo
Locust ni mboga yoo
Nataka kukula
Shikeni hizo dede, mlete tuzipike
Odede ni nyamaree, nataka tule leo
Locust ni mboga yoo
Locust ni mboga yoo
Locuste vina vitamin, vital kamili
Mmh mshike hizo locust, mpike hizo locust
Ugali na locust, ni tamu hizo locust
Leta unga nikukatie piece
Obina analia, obina anasema odede zisichomwe
Tuzikamate tuzikarange tuzikule
Locust ni mboga yoo
Locust ni mboga yoo
Kilo ya unga odede ni sosa
Odede zisifukuzwe zikamatwe zipikwe
Kwanza samosa za odede, zinatibu kwashakoos
Locust ni mboga yoo
Tamu unaweza kula na scones
Locust ni mboga yoo
Solomon leta saumu
Ugali na locust,
supu ya locust
Ugali na locust,
supu ya locust
Oyaa, obina we kwa nini hujawasha moto
Obina we kwenda wakishe motos
Basi mwongoje tu kidogo, kidogo
Mtakula odede moto, moto moto
Wape wape wape nasema wape wape
Wape wape wape nasema wape wape
Odede ya supu, wape, ongeza, wape
Kichwa ya odede, wape, ongeza, wape
Nani anataka, mikono juu, obina shusha chini
Weka tena juu, usifiche kwa mfuko
Tunatafuna tafuna,
odede tunatafuna
Tunatafuna tafuna,
locust tunatafuna
Tunatafuna tafuna,
odede tunatafuna
Excellent kwa kuranga, ubaya inaleta njaa
Kuliko nyama karanga, uliza dj shiti
Wa kawangware, na inafanya chali yako awache
Kuranda randa sababu ya njaa
So juu imeisha twendeni field tukatafute zingine
Tokeni bwana twendeni, kina obina hawajashiba
Twendeni field tutafute ma obururu ma odede
Zote twendeni bana
Pande hii, pande hii, si ndio hii
O de de de de deeee
O de de de de de de deee o
de de de de deeee
Boss umeshika ngapi, wekeni ndooni
Mbili, mbili mbili
Mbili, mbili mbili
Yes ni resoundz media, pamoja na layon media
O de de de de deeee
O de de de de de de deee o
de de de de deeee
Ni muziki na dogo charlie
Tunakamata locustee
Na inateremka kama ugangee
Tunakamata mbili mbili
Lakini si ya chupa
Ni ya locustee, odede
Yeah, locustee ni ile odede kubwa
Yeah, unakamata kichwa unakaranga
Unashika mguu inashinda ile ya kuku
Ama namna gani
Tutatenda yaani kwa kukula locuste
Auuuuuu muli boili dee
Locust Parody Lyrics Credit – Dogo Charlie
ALSO, SING TO – Usikate Tamaa Lyrics – Masauti – New Song 2020