Lakini Lyrics by B2K
Verse One
Star Beat Boy…
Ahhh nimejaliwa moyo sijui upoje
Unapendaga kote sijui ikoje
Niwe muwazi nisijeficha
Kweli mimi home mwenzio
Na kama umependwa sema
Ukweli unajenga mapema
Niwe muwazi nisije fika
Wakati we umebaki na funguo
Ili nizugezuge nikiwaona
Nijifiche fiche kwenye kona
Mi fisi nikifosi nyama nitapaliwa, ahh aahh
Ila ndo jichunge sana
Nisione unachofanya
Nikiona unachofanya
Nitaumiaaa, aaahh aaahh
Chorus
Lakini
Sijui nipoje
Nitoe moyo niutupe huko
Na mimi
Ila macho yanabakia
Nayo bado vituko
Lakini
Sijui nipoje
Nitoe moyo niutupe huko
Na mimi
Ila macho yanabakia
Nayo bado vituko
Verse Two
Ila moyo koma kuhangaika
Kumbe nyumbani wanaboreka
Hata mtaani wananicheka
Sijui nipoje
Kule nilisema I Love You
Na huku I Love You
Shikamoo mapenzi
Una hisia ngapi
Vile nilipenda kule
Na huku nimependa
Wewee
Ili nizugezuge nikiwaona
Nijifiche fiche kwenye kona
Mi fisi nikifosi nyama nitapaliwa, ahh aahh
Ila ndo jichunge sana
Nisione unachofanya
Nikiona unachofanya
Nitaumiaaa, aaahh aaahh
Chorus
Lakini
Sijui nipoje
Nitoe moyo niutupe huko
Na mimi
Ila macho yanabakia
Nayo bado vituko
Lakini
Sijui nipoje
Nitoe moyo niutupe huko
Na mimi
Ila macho yanabakia
Nayo bado vituko
Lakini Lyrics by B2K
ALSO, SING TO – Kaka Tuchati Lyrics – Rostam