Home GENERAL Kushoto Kulia Lyrics – Harmonize – New Song 2019

Kushoto Kulia Lyrics – Harmonize – New Song 2019

0
Kushoto Kulia Lyrics

Kushoto Kulia Lyrics – Harmonize

Kushoto kulia
Kushoto Kulia (Jeshi)
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Kushoto Kulia Lyrics Verse One

KondeBoy for everybody
My music dey shake your body
Eeh coz I do this for my people
I wanna hear you sing tala lala
Kikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea Okonga gwala gwala

Wasonipenda kazi wanayo
Eeeh kazi wanayo
Mie sipigi genga pesa ninayo
Eeeh pesa ninayo
Tunatia chenga wanafuata nyayo
Eeeh wanafuata nyayo
Tunapiga denda wanapiga miayo
Eeeh wanapiga miayo

We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia maduwoteru
Ruksa nipanganga
Napendaga vicheni vishanganganga
Na uturi wa kanganganga
Hakikisha unanukia

Chorus

Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Kushoto Kulia Lyrics Verse Two

Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eeh
I say  Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eeh

Wanaotaka shindana na mimi
Hawapati hata sare
Usishangae tattoo na vipini
Ni makonde chale
Peace kwa walonileta mjini
Mondi wa Tandale
Maneno majungu tupa chini
Muziki utawale

Kama nyapara kafunguliwa pingu wee
Kutwa tunachana mawingu wee
Ameshapanga wewe ni nani upangue
Unajitesa buree(Yii Aga)
We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia

ALSO, SING TO Ate Lyrics – Mbosso

Chorus

Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Kushoto Kulia Lyrics Verse Three

Bonga! Mwambie cheopa
Moto hauzimwi na moto wewe
Hahaha wakiziba kulia
Si tunapita kushoto
Hahahaha je mama jin
Usicheze na jembe litakulima

My nigga Jose wa mipango
Konde Gang is for everybody
Everyboody
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Credit

Harmonize

Previous articlePAH Lyrics – Nameless and Darassa – New Song 2019
Next articleRuby Lyrics – Khaligraph Jones