Home GENERAL Kuroria Lyrics – KrgTheDon and Rico Gang

Kuroria Lyrics – KrgTheDon and Rico Gang

0
Kuroria Lyrics

Kuroria Lyrics – KrgTheDon and Rico Gang

Kuroria, kuroria si unajua tu ni nani
Kuroria kuroria

Masaa masaa ya usiku sacco niku(Kuroria, kuroria)
Shika mtu msuke mfanye akuwe wako bila(Koria koria)
Wagwan basi dance naye, teremka naye akiku(Sorora sorora)
Cheki buda si upite naye, usicheze naye

A pretty gal with a big butty
Come follow me down to the party
Jiggling mo killin say dirty dirty
Imma make you bend down nutty nutty

Kwenye ndoto umeshinda lotto
On the dancefloor umekemba toto
Washa nare tupate joto
Magizani vijiti mdogo mdogo

Bring your head on the scene
Make you sing high note than a violine
Straight badness big bad machine
Kamejibeba nika queen B machine

Masaa masaa ya usiku sacco niku(Kuroria, kuroria)
Shika mtu msuke mfanye akuwe wako bila(Koria koria)
Wagwan basi dance naye, teremka naye akiku(Sorora sorora)
Cheki buda si upite naye, usicheze naye(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

ALSO, SING TO Chachisha Lyrics – Magix Enga and Zzero Sufuri

Tete tete mwili ka Kamene
Unadai ball msupa mi Kadenge
Choko choko dondosa nyuma nene
Ingiza akufe style moja ka mende

Bila kusongea asha inama ah
Bila kushada macho ishanyanya
Na kameshika utadhani bang’a
Ukiniita Victor napiga ka Wanyama

Masaa masaa ya usiku sacco niku(Kuroria, kuroria)
Shika mtu msuke mfanye akuwe wako bila(Koria koria)
Wagwan basi dance naye, teremka naye akiku(Sorora sorora)
Cheki buda si upite naye, usicheze naye(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

Nipe nikupe raha tupate
Ebu njoo upate mambo matamu toka kwangu
Nikupe kiboko, upate adabu
Geuka kidogo nikupe adhabu

Usiku sacco ni saa ya badmanners
Saa ya kula tako na kunyonya banana
Si ukule vako mamunju ku cuddle
Ka uko single manzi mi ndio naku double

Masaa masaa ya usiku sacco niku(Kuroria, kuroria)
Shika mtu msuke mfanye akuwe wako bila(Koria koria)
Wagwan basi dance naye, teremka naye akiku(Sorora sorora)
Cheki buda si upite naye, usicheze naye(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

Tumekuja tu ku(Kuroria, kuroria)
Huyo dem aki(Sorora sorora)
We mteke bila (Koria koria)
Akidai tu ku(Kuroria, kuroria)

Credit: KrgTheDon and Rico Gang

Previous articleSize8 Reborn Biography, Age, Husband, Family, Education
Next articleCourses Offered at Laikipia University