Home NEWS Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics – Wakadinali Ft Sir Bwoy

Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics – Wakadinali Ft Sir Bwoy

0
Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics

Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics – Wakadinali Ft Sir Bwoy – Download Mp3 Audio

Chorus

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Verse One

Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
Ubesh Chege eventually chunga
Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
Ndio tuchokeshe njeg’e, Kibronj aliisunda

Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa
Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
Kuna watu ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster
2020 hatutaki trouser kuwararukianga rasa

Tukivunjwa goti bila kushow ka Hussein Machozi
We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi
Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi

Naiwasha ndani ya ploti bila kudoze
Wao wanawashwa wakiwa juu huko third floor na hatutemei kikohozi
Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara muja
Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya

Chorus

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Verse Two

Wataungana (Wataungana, fanya mambo)
Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
Niku-nikukazana (Westie to Eastlando)
Wata-wataungana (Wataungana, fanya mambo)

Wata-wataungana(Wataungana, fanya mambo)
Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando)
Niku-kukazana (Westie to Eastlando)
Wata-wataungana(For real, mmmh noma sana!)

Ni ile design nimejihumble kwako, Baba
Kila inaumanga, Eastlando hustle nadra
Kinagaubaga na-feel sicker nayo
Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau

Sina makao, ndio maana nimeishi kote
Ka Sila na Paul, milango zilijiopen
Casino za tao, mipango zao ni all same
Nipate, nikose, nisote mpaka nikope

Compe ni shughuli za dunia
Kuwashow waconfess ni kupuliza gunia
Kwa wale wote walo kula mascar
Hutabaki njaa mpaka siku chura zafly
Jo, madawa, vijana wetu wamepagawa
Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
Mambang’a wanachinjwa, wanagwaya
Jiji na mabanner tukishindangwa na gava

Chorus

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Haina noma una namna
Tuseme bora uhai haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye street kakikiumana
Ju kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana

Haina noma una namna
Wakadinali Wakadinali
Mtoto wa mama

Kuna Siku Youths Wataungana Lyrics Credit – Wakadinali and Sir Bwoy

ALSO, SING TO – Baddest Lyrics – Femi One – New Song 2020