Kosi Lyrics – Guardian Angel
Intro
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Kosi Lyrics Verse One
Moyo wangu unawaka moto
Wale wenye roho ngumu ka kokoto
Wanataka mi niangamie
Nipotelee bwana nichunge kama mtoto
Baba andaa meza mbele ya maadui zangu
Nile ninywe nitulie nikutumikie
Mi nikuishie nikukimbilie
Milele kwa hekalu lako nikuhudumie
Andaa meza mbele ya maadui zangu
Nile ninywe nitulie nikutumikie
Mi nikuishie nikukimbilie
Milele kwa hekalu lako nikuhudumie
Chorus
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Kosi Lyrics Verse Two
Na majaribu ni mengi
Stress ziko nyingi
Matatizo ni mengi
Grace nipe nyingi
Unishike mkono bwana
Nishike mkono bwana
Na majaribu ni mengi
Stress ziko nyingi
Matatizo ni mengi
Grace nipe nyingi
Unishike mkono bwana
Nishike mkono bwana
Baba naomba, nishike mkono
Bwana naomba, nishike mkono
Yesu naomba, nishike mkono
Heeeeey, nishike mkono
Ukiniacha nitaangamia, nishike mkono Ukiniacha nitapotea, nishike mkono
Ukiniacha nitaangamia, nishike mkono Baba naomba, nishike mkono
Chorus
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Nakupa kosi
Futa machozi
Unitulizee
Unitulizee
Credit: Guardian Angel
ALSO, SING TO: Modo Man Lyrics – Boondocks Gang Ft Mbuzi Gang